Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
In need of a new keyboard for my laptop. ...where can I change it?, please help
0 Reactions
2 Replies
556 Views
haya wakuu yule mwenye nokia lumia 520 window phone tubadilishane nimpe S4 clone made in korea ram 2 gb na internal memory 16 gb nampa na earphone, charger na box lake simu nimeitumia miezi 2 tu...
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Natafuta simu ya tecno p5 ambayo iko vzuri kimuonekano
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza kiwanja,kimepimwa na kina hati miliki, urefu ni 68kwa68 na upana ni 40kwa33. kiko maeneo ya tabata kisukulu,ni pembeni ya tabata segerea.bei ni 27m. kama ukihitaji tuwasiliane 0782261294
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kiwanja ni nusu heka, kuna frem tatu mbele za maduka, kuna msingi wa fremu tatu pembeni mbele, kuna banda nyuma lenye vyumba viwili limeishia kwenye linta, kuna kiwanja kinabaki kinaweza kujenga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kiwanja kinauzwa dar kipo kinyerezi darajani urefu miguu 55 upana 35 mita gari inaingia hadi kiwanjani bei 15 million maelewano yapo picha kuanzia kesho 27.2.2014 sa kumi whatsupp kwa namba hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki saba na nusu. Kwa anayetaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa wale wanaohitaji samsung galaxy s4 clone zinapatikana kwa bei tajwa zipo kwenye box na ni mpya. zipo rangi nyeupe na very dark blue kama nyeusi brief specs zinatumia mediatek...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Iwe na specification zifuatazo Procesor i5 core Ram 4Gb HDD 500 Dvd rw Webcam Bajeti yangu ni 500,000
1 Reactions
14 Replies
1K Views
wadau pkpk tajwa hapo juu inauzwa 2.8 maelewano yapo ipo kaika hali nzuri sana ila vibali vyake vimeisha ina bidi ukinunua kalipie ipo dar es salaam ilikua inatumika kwa matumizi binafsi yani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuuu nahitaji sumsung tablet 3. Budget yangu ni kama tajwa hapo. Mimi napatikana arusha. Kama unayo pm tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Bei 250k Rangi Nyeupe 16 GB internal storage 2 GB RAM With Jellybean 4.2.2 contact me: 0716683434
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu ofisi inapangishwa na ipo karibia na maeneo ya ubungo Ina ubora ufuatao 1. Ina AC 2. Desktop Computer i 3. Meza kubwa,viti 3 makabati ya kuwekea vitu, kabati ndogo ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
pc yangu imeharibika cr rom, mlango wa sata ..yyt anaeuza anichek..
0 Reactions
5 Replies
835 Views
msaada wakuu namna ya kumpigia simu rafiki aliyepo USA alinipa namba yake kila nikipiga naambiwa haijulikani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza mayai yakuku wakienyeji try 12alfu.nakuletea mpaka ofisini kwako kuanzia try 10 nakuendelea.karibuni
0 Reactions
16 Replies
1K Views
wakuu ---- nyumba inauzwa milioni miambili ipo dar salaam, wilaya ya kinondon, kata ya kawe,mtaa wa ukwamani. ina vyumba sita, ina vyumba vya uwani vinne, ina fremu moja ya biashara, ipo katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samsung tab 2 7.0 gt:p3100 price 430000. in good condition, alie interested anchek pm au mwenye ipad2, au tablet yenye screen kubwa anaetaka ancheck tubadilishane.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom