Km kichwa cha habari kinavyojieleza nauza htc kwa 250,000/ tu.nimeitumia kwa miezi sita hipo
ktk hali nzuri kabisa.0714 411041 au pm tufanye biashara nipo DAR
wakuu joto limekuwa kali sana uku kwetu
mbagala... kuna fen nasikia unaweka maji then
inatoa mvuke kama air condition.... naweza
kupata wapi hizo feni na bei yake ikoje?
mwenye nokia nzuri hasa X1 au X2-01 ama nyingine nzuri iwe inatumia memory card isiwe imechakaa na iwe nzima nna elfu 35 tu kama huna tafadhari mkuu usilete masihala hapa mi ni mwanajeshi shauri...
Makontena mawili ya futi 20 yanauzwa, yapo kinondoni, yalikuwa yakitumika kwa biashara za kuuzia simu na huduma za Mpesa, yana air condition. Bei ni Milion Tatu na nusu.
simu tajwa apo juu inahitajika..ni mnunuzi serious wakuu..iwe kwenye hali nzuri...niambie imetumika muda gani na unauza bei gani...kama ina tatizo lolote state it tafadhali...karibuni
shamba lenye ukubwa wa hekta 12 sawa na ekari 30 lipo eneo la chapwa barabara ya mpemba-tunduma (barabara kuu ya tanzania -zambia) limekuwa likilimwa mahindi, lina hati miliki linauzwa na mmiliki...
Wakuu Habari,
Kutokana na shida fulani inayonikabili,nimeamua kwa hiari yangu nikuze kiwanja changu kilichopo Goba Kinzudi
umbali wa kilometa tatu na nusu kutoka masana Hospitali,kiwanja hicho...
Habari wakuu...nauza cement aina ya twiga cement ya kupima,kuanzia robo kilo,nusu kilo,kilo 1 mpka hata kwa wateja wanaohitaji kilo 40....ipo pia Gypsum Powder ya kupima,karibuni sana.
##nipo...
Nauza blackberry Z10 iko ktk hali nzuri sana imetumika kwa muda mchache, iko complete na charge, headphone na box, inauzwa au tunaweza badilishana na Line ya Uwakala ya TIGO PESA,Anayehitaji ani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.