Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Makontena mawili yapo kinondoni yanauzwa yalikuwa yakitumika kwa kuuzia simu na huduma za Mpesa, yana air condition Bei ni Milion tatu na nusu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asus K53S core i5 4GB ram 500GB HDD 4HRS BATTERY NVIDIA GEFORCE 2GB wireless, Bluetooth, DVDRW,HDMI,webcam bei-780,000Tsh 3 months used 0689-869696 Arusha
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Tunatoa mafunzo ya muziki kwa watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 4. Masomo hayo ni kujifunza kupiga keyboard (piano), ngoma na kuimba. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0778350664.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Nisaan March kwa bei ya million 4. aliyetayari anicheki 0713 806 766 au 0688 238 912. niko dar
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Nauza salon ya kiume, ipo maeneo ya bigbrother manzese, ina vitu vifuatavyo, ac, viti 2, sterlizer machine, tv, startimes, makochi 2, mita ya luku, taa mbili za urembo nje. Kwa ufupi ni nzuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Honda 125cc Ace. Imetembea kilomita 10,000 tu. Tuwasiliane. 0789704001. Dsm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Makontena mawili yaliyokuwa yakitumika kwa biashara ya kuuzia simu na Mpesa yanauzwa yana air condition. Bei maelewano.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF, Mimi ni mwanchama wa jamvi hili mwenye makazi nje ya Tanzania ila hivi sasa ninapanga kurudi nyumbani. Ningependa kuelimishwa kuhusu kodi ambazo nitatakiwa kulipa endapo nitaingiza...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ina nyumba mbili katika plot moja...Ukubwa wa eneo ni nusu Heka, ina umeme na maji pia..Eneo limepimwa tayari, Nyumba iko Nyegezi sweya Karibu na chuo kikuu cHa SAUT. Bei yake ni Mil.40 tu.. Kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mabibo hakuna foleni sana. Naomba kujua bei ya vyumba vya kupanga kuishi na hali ya huko kwa ujumla. Nataka mwenye nyumba asiwe anakaa hapohapo.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
ni aina ya butterfly bado mpya kabisa ipo Morogoro imetumika kwa muda wa mwezi mmoja,haina tatizo lolote bei ni shilingi 160000
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa kipo nyegezi,wilaya ya Nyamaghana Mwanza kina ukubwa wa square mita 5150.kimepimwa. Namba ya cmu ni 0757728861. Email Deogratiusdk3@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mwenye hii kitu ajongee tufanye biashara. Nahitaji DVD room used. Naishi Mbeya na niko 35
0 Reactions
4 Replies
934 Views
Tunatengeneza vitambulisho/business card za plastic kwa bei nafuu, tupigie sasa upate 20% discount. Bongotech Communication LTD website fb page Tupo : Magomeni Mapipa karibu na butiama...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
chumba cha kupanga self contained kinahitajika...maeneo ya Savei au Sinza...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Natafuta charger kwa bei nzuri. Aniambie its urgent. Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mwenye keynote ya dell n5050 inpire hats kama used me nanunu mawhine yangu imeiufa key bord
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Fundi gypsum anapatikana kwa namba 0714646212
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello! Nahitaji kwa haraka HALF CUT ya kipande cha mbele cha hiace custom (super roof / dungu). Mwenye nacho ani-pm au tuwasiliane asap kwa 0713291455.
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Wanajf natafuta Rav 4 kill time namba C au B ya mwishoni iliyonyooka .iliyokwenye hali nzuri (excellent condition). bajet 12mil ++ inawezakuongezeka kutoka hali gari.mazungumzo yapo.contact...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Back
Top Bottom