Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mchuma unauzwa bei cheee. Ipo ktk hali nzuri sana. Ina sifa zifuatazo: Air conditioned, SRS Airbag, LCD TV, Radio and Dvd Player, Roof top. Condition: In very good condition (regularly...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa ukubwa ni nusu eka kinafaa kwa biashara na makazi kipo mbezi mwisho mita 300 kutoka morogoro Rd karibu na stand mpya ya daradara upande wa kulia kama unaenda kibaha, karibu na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba iko karibu na stendi mbande, bei ni mil 8, maji yapo karibu, umeme uko nyumba ya tatu toka yangu ni suala la kuvuta tu, ina vyumba vtatu na sebule.bei ni mil 8. anayehitaji ani pm.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
GX 90, Mark II Inauzwa bei nzuri 4.5m, maelewano yapo Ipo katika hali nzuri 0655 282862, 0768424646
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya magomeni au upanga.Budget yangu ni sh 200,000/=.Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kuipata hiyo nyumba. Mbarikiwe.
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Kama ulikuwa unatafuta sehemu nzuri ya masaji ( FULL MASSAGE ) na bado hujapata. Jaribu kuwaona DAR EXCELLENT PARLOUR wa Shekilango. Wana wadada wawili mmoja anaitwa Asia...
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Nahitaji nyumba ya kupanga, chumba kimoja na sebure au iwe self contena Isizidi tsh 150000 Mawasiliano njoo pm
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu ujipatie logo ( nembo) kwa bei nafuu kabisa na haraka, kuna nembo ambazo tayari zimesha dizainiwa za aina tofauti tofauti, unachotakiwa ni kuchagua na kuchukua kuifanya yako, bei zetu ni...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Ninatoa huduma ya kuuza ndizi za Moshi mshale aina zote na ndizi bukoba na matunda Kila aina.Ninapokea oda nakukuletea mpaka mlangoni,napia mkaa unapatikana magunia makubwa na madogo kwa bei...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
1 : Itel model : Inote mini ipo kwenye hali nzuri.. Ina one week tangu imenunuliwa..!! Rangi : Nyeupe bei : 100,000/= tsh unapewa na charge yake 2 : Lg model :e400 ipo vizuri haina...
1 Reactions
0 Replies
830 Views
House for sale kigamboni near mikadi beach just 5 min from ferry, has 11 rooms, electricity and space for car parking . Price: Tshs 95,000,000/= negotiable for more info.. Please contact...
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Gari inakodishwa kwa safari mbalimbali ndani ya mkoa wa Dar es salaam na nje ya mkoa wa Dar es salaam. Tupo mbezi Beach-makonde kona ya kuelekea mbezi Garden Hotel.Bei zetu ni nafuu sana...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
nauza kuku wa kienyeji. kwa anayetaka a reply hii post!
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kiwanja sqm 900 linauzwa goba. Tzs 30M.mazungumzo yapo. Piga 0653 532601.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba vitatu (including Master Bedroom) Moshi manispaa eneo la Soweto karibu na hospital ya St. Joseph...Nyumba ina servant quarter imezungushiwa fence na ina geti. inbox au tuma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama caption inavyojieleza cm haina shida yyte. Bei elfu 95!npo dar, ni-Pm!
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Simu haina tatizo lolote wala haina michubuko. Bei laki na 90 inaweza kupungua kidogo! Ni pm!
0 Reactions
0 Replies
934 Views
WANAJF, Naombeni msaada wa namna ya kupata mafuta ya SAMLI na ASALI MBICHI kwa hapa Dar es Salaam. Hakika nahitaji sana vitu hivyo lkn sijui nitayapata wapi kwa hapa Dar es Salaam. Kama kuna mtu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kama heading ilivyo. Nahitaji noah nina 7m.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nauza Asali mbichi yani Pure iko Dar es salaam. Kwa anaehitaji anitumie PM ili nimpe mawasiliano yangu. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Back
Top Bottom