Nyumba ya kisasa inauzwa, ni self container, ipo lumo sigara Dar, ina kiwanja kikubwa, vyumba 5, nyumba ya uwani pia zipo yenye vyumba 4,na sebule 2, haipo mbali sana kufikia barabara kuu, ina...
Habari wana jf!Naomba kusaidiwa jinsi ya kupata king'amuzi cha azam kwa sisi watu wa mikoani!Me niko singida na ninahitaji sana king'amuzi hicho maana nimesikia ni vizuri!
Simu aina ya lg e400 inauzwa,. Simu iko pouwa haina tatizo...
Kama mtu utakuwa seriouz nakutumia pic whatsapp
my number 0785673240.
Unaweza nicall or text kwenye number hiyoo..
Aina ya...
Gari ipo katika hari nzuri Cc 1290. Km 122,420. Nyeupe. Mafuta economy,inavuta nyuma, sports rim,matair mazima, ac, radio cd,4wd. Bei 7m. Serious buyer call 0754734009. Ipo Mbeya mjini...
Wakuu naomba mnijuze kwa walio na uzoefu ni ipi gari nzuri hasa katika comfortability barabarani kati ya Toyota premio na Toyota allion zote za mwaka 2004.
wakuu kwa yoyote aliye na tecno smart napenda tufanye biashara nina nokia asha 201 na 40000 yaan nampatia simu na hela kwa aliyetayari nicheck kwa 0712094731 nipo dar na hata mwenye bb ni sawa tuu...
General
Sim Type: GSM
Dual Sim: No
Device Type: Smartphone
Release Date: May, 2012
Design
Dimensions: 136.6 x 70.59 x 8.6 mm
Weight: 133 g
Display
Type: Color Super AMOLED screen, 16M...
Wakuu habari za Weekend
Naomba kusaidiwa kupata mawasiliano ya mtendaji kata au hata mwenyeji/mkazi wa eneo tajwa hapo juu, naomba uni PM.
Natanguliza Shukurani
Legacy Impresion Company tunatoa huduma ya kuuza vifaa vya steshenari kwa bei nafuu hasa kwa steshenari za maofisini,kwa sasa tunatoa huduma ya kufikisha hadi ofisini kwako kwa wateja walioko...
Habari za Asubuhi wakuu..!!
#mimi nina Blackberry bold 9780 (white) haina tatizo lolote and with no scratches.
#kama kuna mtu ana smartphone yoyote na haina tatizo lolote na angependa...
Hp laptop inauzwa,ipo katika hali nzuri saaana!! specifications
kioo 14.1cm
HD 150gb
Processor dual
camera(skpye)
Ram --1gb
BEI MAELEWANO.
NAPATIKANA DOM 2WASILIANE KWA NO 0769056444.
Nauza iphone 5, imetumika, iko kwenye hali nzuri sana. Ni nyeusi, ina 16gb memory, na iOS 7.0.4. Inakuja na usb cable tu.
NB: picha zinasumbua kuupload, waweza nichek through 0717301520 kupata picha
Kiwanja kinauzwa ukubwa ni nusu eka kinafaa kwa biashara na makazi kipo mbezi mwisho mita 300 kutoka Morogoro Rd karibu na stand mpya ya daradara upande wa kulia kama unaenda kibaha pia karibu na...
Habari yenu wadau wa jf.
Nachukua nafasi hii kukutangazieni kua nyumba inauzwa.
SEHEMU: UNGUJA - MWANAKWEREKWE JITIMAI.
Planned area/panafikika vizuri kwa gari za aina zote.
Karibu na soko kuu...
1. WEBSITE / BLOG DESIGNING (STATIC AND DYNAMIC)
(i.)Tunatengeneza both Dynamic and static website, pamoja na hosting.Tunatumia lugha yoyote anayohitaji mteja, bei inategemea complexity ya...
mtu yeyote mwenye motherboard mbovu zikiwa nyingi ni vizuri zaidi lakini hata zikiwa 3 au 4 sio mbaya nikaja kuchukua kukuondolea takataka maana zipo tu lakini huzitumii PM or call on 0732 928530
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.