Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Gari inakodishwa kwa safari mbalimbali kwa bei nzuri,ni full Ac,toyota GL,Tupo mbezi beach makonde,kona kuelekea mbezi Garden Hotel.wasiliana kwa 0657 720 792 email: llyramadhani@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, habar zenu, nimeingiza, zipo chache saana wahi kabla haujachelewa, bei ni 550000 tsh. specification zake, hdc galaxys s5 gt-i9600 android phone tech info hdc galaxys s5 gt-i9600 owns a...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauzwa tajwa hapo juu imetumika miezi 2 na ipo kwenye hali nzuri.... Bei ni 140,000/= mawasiliano;0718905208 Nipo Dar
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Wanajf kuna chumba na sebule vinapangishwa yemen tandale.....kwenye kituo kabisa...ukishuka ndan ya gar unaingia getin kwako ndan.nyumba ina gypsum..ipo ndan ya fensi....ulinzi wa kutosha umeme na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Gari ipo katika hari nzuri Cc 1290. Km 122,420. Nyeupe. Mafuta economy, inavuta nyuma, sports rim,matair mazima, ac, radio cd,4wd. Serious buyer call 0754734009. Ipo Mbeya mjini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1 : Itel model : Inote mini ipo kwenye hali nzuri.. Ina one week tangu imenunuliwa..!! Rangi : Nyeupe bei : 100,000/= tsh unapewa na charge yake 2 : Lg model :e400 ipo vizuri...
0 Reactions
5 Replies
952 Views
Pata 8GB Flash/memorycards popote ulipo zikiwa na Biblia/Quran(AUDIO) kwenye Gari yako/Simu/Ofisini au Nyumbani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni Smart phone na Application zingine zote zinapiga kazi, ispokuwa Mic tu.. kama uko tayari ni-reply tucheck..
0 Reactions
1 Replies
827 Views
wadau naitaji simu aina hiyo isiwe na tatizo lolote hata mikwaruzo,mwenye nayo aweke picha yake tufanye biashara fasta
0 Reactions
5 Replies
890 Views
Free lander ambayo imewekewa injini ya 3s..manual transmission inauzwa kwa 8mil.. contact 0717776476
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nduguz Habari...inahitajika Toyota Passo iliyo kwenye hali nzuri.offa yetu ni 5milion,dalali haitajiki hapa.karibu.
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Wakuu Nina safari ya kutoka Mwanza kuja Kibaha mail moja kwa basi. Kwa anayefahamu mazingira ya pale anisaidie ni guest house/Logde gani nzuri. Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
3K Views
korosho zinauzwa kg 1 @ 15,000/= nusu ni sh 10,000/= karibu kwa mwenye kuhitaji kwa mawasiliano ani pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nauza huawei imetumika miezi 3 bei.tshs.130000.nchek namba 0659626782
0 Reactions
1 Replies
774 Views
Nashukuru wana jf kwa kunielewa maana tayari nimeshafanya biashara na baadhi yenu, kikubwa kilichonifanya nirudi hapa ni kwamba nilikuwa sijaeleza vitu vingine ninavyoweza kufanya, ni kwamba kama...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Any make with wide LCD in Immaculate Condition USB/Bluetooth and Audio Amplifier are added advantages PM for business
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Kwa anaehitaji cm tajwa hapo juu anitafute kwa namba 0783905864 au anipm.bei na lak moja.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ipo lumo sigara DAR, Haipo mbal sana na barabara kuu, ina urahisi wa kuingia gar, ni self container yenye vyumba 5 vkubwa, ina kiwanja kikubwa, nyumba ya uwani pia ipo yenye vyumba 4 na seble 2...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Simu aina ya lg e400 inauzwa,. Simu iko pouwa haina tatizo... Kama mtu utakuwa seriouz nakutumia pic whatsapp my number 0785673240. Unaweza nicall or text kwenye number hiyoo.. Aina ya...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Back
Top Bottom