Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
habari wana jamii samahani naomba kuuliza kwa anayefahamu kuwa king'amizi gani ni kizuri kati ya ZUKU na DSTV nahitaji ninunue au kama kuna vingine ambavyo vi vizuri plz naombeni msaada wenu
0 Reactions
3 Replies
977 Views
wana forum salam za mwaka mpya kwangu nimuuanza kwa kuibiwa nimeibiwa ipad ilikuwa na information muhimu sana kwa yoyote atakaye fanikisha kuipata zawadi nono itatolewa . wizi umetokea jtano...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kwa yeyote aliyetumia Toyota premio model 2012 anijuze uzuri na ubaya wake
0 Reactions
0 Replies
851 Views
nyumba iko barabara ya kwenda mpigi magohe MBEZI MWISHO ipo karibu na shule ya yatima bethsaida sifa za nyumba kiwanja ukubwa 35x40 master bedroom 1 rooms za kawaida 3 private toilet 1 public...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Heshima wanajamvi, Kwa wale wanaopenda sport Bike kwa ajili ya motocross / Enduro etc Used bike ipo ktk hali nzuri insurance na reg card vyote vipo. Bei tshs 4 M. bike ipo Moshi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye gari aina ya caravan yaani hiace niingie nae mkataba kwa siku shs 60,000/= lakini gari liwe automatic then nipigie 0714064767 tuongee
0 Reactions
2 Replies
1K Views
la ghorofa 4 vibali vinaruhusu ujenzi mpaka 7 bei....pm mtaa...pm picha....pm dalali....pm
0 Reactions
14 Replies
2K Views
JOANA DIGITAL PRINTING Tunapatikana Survey (Mlalakuwa),Barabara ya Chuo Kikuu Na Brajec Pub Tunatoa Huduma Ya Printing Kwa Bei Nafuu Kabisa, Tunaprint Karatasi Za Aina Zote Ikiwemo Karatasi Maalum...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Badilisha kwenda kwenye pesa mdawako unaoutumia kwenye mitandao unayoipendelea ambayo haikulipi kwa kupakua Appya bure kwenye computer yako au kwenye simu yako ya mkononi na kuwaalika watuwengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TOSHIBA C850 PROCESSOR:2CPU(1.8+1.8ghz) RAM:2GB HDD:500GB SCREEN SIZE:15.6 PRICE:560000 CALL:0783380123
0 Reactions
5 Replies
850 Views
Wananchi kiwanja kipo Moro eneo la kihonda, ukubwa wa mita sp 600, kina hati, huduma za jamii zipo. Barabara hadi pale. Bei 7mil kama una nia piga 0715500248, 0756171831
0 Reactions
3 Replies
886 Views
Viwanja vinauzwa vipo Kibaha mjini kata ya Pangani vinauzwa 4000 sh kwa square meter vinaanzia 20 kwa 20 na hadi vya 20 kwa 43 kwa 30. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba hizi 0754/0715...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau salaam...nauza Nissan Terrano ya mwaka 98 mayai na rangi dark blue automatic inayotumia petroli...ina miezi kama 2 tangu niimport kutoja japan...bei ni 12 millions..Kwa maulizo yoyote kuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
NYUMBA IPO ENEO ZURI NA PANAFAA KWA LODGE ZAMANI ILIKUWA INATUMIKA KAMA CHUO NYUMBA IPO KARIBU NA KITUO CHA DALADALA KWA REMMY HATUA CHACHE TOKA KITUONI NEARLY 100METRE TOKA SHEKILENGO ROAD...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninauza N800 kwa bei ya sh laki 4 tuu (400,000),haina tatizo lolote!Anayehitaji ani pm!
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Pata 2TB external hdd kwa tsh.200,000/= tu kwa anayeihitaji awasiliane nami at 0689341445.....WAHI SASA NDO IMEBAKIA MOJA
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenye kisimbusi cha zuku na dish lake nanunua. Ni pm niko dar.
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Wana JF wenzangu, Leo nimeamua kuwapa habari njema kabisa katika uvumbuzi niliokuja nao... (Well Sija invent kitu hapa). Tunaweza Kutumia Mtandao wa YOUTUBE (Thanks to google) kujikomboa na...
9 Reactions
21 Replies
6K Views
Taswira soko la kimataifa la samaki Ferry DOTTO: NIMEJENGA, NASOMESHA KWA KAZI YA KUKAANGA SAMAKI FERRY Ni eneo ambalo limetanda moshi mzito ukiambatana na moshi wa sigara, kutoka kwa baadhi...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Data : 3G/Wi-Fi (unaweza kuweka SIM card) 10.1 inches Colour : Black Used: 1 month (no scratches,I'd say brand new) RAM: 2gb Memory : 16gb internal PRICE : 700,000 (contact to negotiate) Reasons...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Back
Top Bottom