Samsung galaxy pro dous Young
Bei : 120,000
Ipo kwenye hali nzuri na haina mikwaluzo..
Kama upo tayari kufanya biashara ni pm..
Text and whatsapp 0785673240
Thanks jf members..!!
Habar wa jf
Mwenye kulengwa na kichwa cha habar hpo juuu aniPM bei yake,napendelea iwe mpya kabsa,bt hata kama unayo used usisite nipa bei na uchakavu wake nambie
Wakuu nauza mirunda iliyotumika. Nimeitumia kumimina slab ya nyumba yangu.
1) Sehemu ilipo: Kigamboni (kibada) jirani na full shangwe kwenye plot za serikali.
2) Idadi: Ipo mirunda 600
3) Urefu...
Wadau wa arusha natafuta nyumba ya kupanga hasa maeneo ya njiro au kijenge mwanzo mwanzo.offer yangu ni 150,000 mpaka 200,000.zaidi ya hapo itategemea vigezo maalum kama muda mfupi wa kulipa...
Habari wadau wa jf hii ni fursa tosha kwa wasanii wote wenye nyimbo zao, Tutumie sasa wimbo wako tukutangazie bure.
Tuma kupitia Email hii kisusim31@gmail.com au tembelea blog yetu ambayo ni...
wadau polen nakuwajibika nombeni msada kwa anaye jua bei yamasine zakukamua mafuta ya halizeti na mahali zinapo uzwa mm nipo dar es salaa natanguliza shukran ktk ilo
Haya tena kwa wenye kutaka mabegi ya ngozi ya orignal toka ulaya wawasiliane na mimi kwa Email yangu hii fewgoodman@hotmail.com hata ukitaka kwa bei ya jumla nitakufanyia discount ya malipo. Oneni...
Simu ina miezi miwili toka niinunue dukani, haina tatizo lolote, kwa anayehitaji anicheck kwa 0714 417641, pia nicheck What's app kwa namba hiyo tufanye biashara.
Naitaji vyumba viwili vizuri, maeneo ya fuatayo kawe, mwenge, sinza, magomeni, kinondoni mwenye navyo PM tufanye biashara
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
modem nzuri ni kama hii yenye sifa zifuatazo:-
i) ikubali mitandao yote
ii) iwe na speed isiyopungua 7.2Mbps
iii) iwe na sehemu ya kuweka memory card
iv) iweze kupokea au kupiga simu pindi...
Aina: Apple mac Book
RAM: 4GB
Processor: 2.5GHz
Hard Disc: 500GB
WEBCAM: 720p HD Camera
OTHER: Wi-fi wireless networking
Bluetooth 4.0 wireless technology
PRICE: 380,000...
wadau polen nakuwajibika nombeni msada kwa anaye jua bei yamasine zakukamua mafuta ya halizeti na mahali zinapo uzwa mm nipo dar es salaa natanguliza shukran ktk ilo
Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za...
Kwa muhitaji wa gari ya biashara
Nissan civillian
Drive type: 4WD
Year: 1997
Engine size: 4200cc
Seater: 29
Gari inafanya kazi mkoani (vijiji vya mkoani Iringa), ipo katika hali nzuri sana, ina...
NAIUZA HIYO GARI SPACIO 2002
engine vvti trasmition automatic
cc 1998 no accident history
imetembea kilometer 140000
full ac with radio, power window,
bei 9000000/=
CLEARANCE SALE
GLASS-BLOCKS
Whole lot selling for 400,000/-tshs. (retail value approx 900,000/-tshs)
Below Normal price.
Due to minor damages.
CALL
DECOR SOLUTIONS LTD
0784 768 786...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.