Habari za Jpili.?
Nahitaji kupata passport halali ya kusafiria toka Uhamiaji.Ni mzaliwa wa Tz,na nina cheti Original cha kuzaliwa,halikadhalika wazazi wangu ni watanzania wa kuzaliwa.
Naomba...
Kama mtu angepata nafasi ya kulipwa kwa kila saa anayotumia Facebook au tovuti nyingine yoyote achaguayo na kwa kila saa ambayo watu aliowakaribisha watatumia Perfect App kwenye kompyuta au simu...
Wakuu,
Kuna mwekezaji anahitaji kujenga Lodge ndogo tu katika mfumo wa Bungalow pale karibu na mikumi national park, kama una kampuni ya ujenzi na unaweza kufanya kazi hii basi njoo PM tuongee...
wakuu, ninauza iphone 4s imetumika kwa mda wa miezi 4, haina tatizo lolote wala scratch.
ni nyeupe na ina gb16. inakuja na charger tu kwa bei ya 420,000/=tsh.
kwa yeyote atakaehitaji namba hii...
Eneo lipo kinondoni lina hati miliki na lina ukubwa wa sqm 1000 eneo lina bar,flemu za biashara.
kwa mawasiliano zaidi 0714787795,0656063933.Au tembelea DOUBLE(A)BROKERS
Habari wadau, mdogoangu anatafuta banda la kukodi afugie kuku 500 yaani wastani mita za eneo 50. Anapendelea maeneo ya Kihonda au jirani na hapo. Kama unalo au unamfahamu naomba wasiliana nae kwa...
Hello all, line wakala tigopesa ipo, inauzwa 600,000....nipo dar, PM if interested,.....jina litabadilika baada ya mwez, uwe na all suported documents.....
Kiwanja kinauzwa tegeta upande wa beach kina nyumba ya gorofa ambayo haijaisha bei ni mil 150 tsh mazungumzo yapo kwa mawasiliano zaidi 0714787795,0656063933
Sent from my BlackBerry 9300 using...
Kiwanja kiko tegeta kilimahewa kinaukubwa wa sqm 1250 na kinamuendelezo wa biashara ya bar. bei milioni 210 tu,maelewano yapo. haitajiki dalali,kwa mawasiliano 0717 877174.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.