Ndg wanaJF matatizo utembelea watu, na leo yamenitembelea nalazimika kuuza simu yangu tajwa hapo juu kwa bei ya hasara kweli kuokoa maisha ya mgonjwa wangu naiuza bei ya Tsh 60,000 simu bado ina...
UPGRADE YOUR SMARTPHONE TO ANDROID 4.3 JELLY BEAN (NEW VERSION)
Google has introduced the next version of its well popular android mobile operating system known as ANDROID 4.3 JELLY BEAN.
Kwa...
*Apple Ipod 3rd Generation
Apple Ipod Touch
USED:STILL IN A GOOD CONDITION
BUILT IN STORAGE:8GB
LISTEN MUSIC UP TO :9 hrs(when fully charged)
Internet access via wi-fi...
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nauza tecno l3 kwa laki moja na thelathini elfu tu ( 130,000/).Ina wiki mbili(2) toka nimeinunua ina kila kitu memory card 8gb,hear phone za tecno'double...
Natafuta chumba na sebule kiwe na jiko na choo maeneo ya kawe, sinza,kinondoni,magomeni na knyama bajeti yangu ni laki kwa mwezi. Siitaji dalali nahitaji mwenye nyumba direct ni pm
Sent from my...
Samsung galaxy s3 mini mpya kwenye box na
accessories zote
Moja inauzwa kwa bei ya laki 4 na elfu 50
cash,
zina 8/16gb,
2camera 5mpx, android 4.1 Jelly
bean.
Piga ama sms namba 0753 254...
Habari zenu wanajamvi. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Institute of Accountancy Arusha (IAA) nachkua course ya Bachelor of Economics and Finance (BEF).Muda wa likizo ndo unaanza hivyo nlikua...
Umofia kwenu wana JF,
Nahitaji heka moja tambalale square 70m kwa 70m,Maeneo nayotaka ni Ununio,Boko,Bunju,SalaSala,Mbweni,Kibada,Tuangoma,Kongowe,Mjimwema,Kibugumo,Gezaulole! Weka offer yako...
Onyo. simu ya wizi ntakufunga maisha....
taja aina ya simu na kwanini unuza......
kama unauza tecno, sinto pokea japo nayo ni smartphone...
twende kazi sasa
Wadau
Mji wa Singida unazidi kukua na kupanuka kwa kasi. kama wewe ni mwenyeji au mkaazi au mtu yeyote mwenye uhitaji wa
wa kununua;
Viwanja
Mashamba
Nyumba au
Nyumba/vyumba vya kupanga
Wasiliana...
Wakuu naomba kuulizia kama kuna mtu ana garage au anafahamu garage ambayo wanaweza nifungia viti kwenye hiace yangu kwa hapa dar na bei yake ni kiasi gani
Wwdau JF,
Nategemea weekend inaendelea vizuri.!
Nahitaji gari ya kokodi kwa siku tano,gari iwe SALOON, model yeyote na iwe kwenye hali nzuri.Nataka kwenda nayo Tanga mjini na Pangani nikitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.