Hi..wakubwa nauza simu ya samsung galaxy pocket bado mpya 1GB ram and internal 4GB.bei. Ni maelewano..
Kwa mawasiliano zaid 0752628466,facebook.com/youngclever,and email ni younggenius3@gmail.com...
Camera nikon D3200 for sale .Bei Tsh 1200000. Mazungumzo yapo camera .ipo kwenye Hali nzuri charger ,manual,CD included . Maelezo zaidi simu 0712652110 Dar
jamani eeeeh nnauza nokia E5-00 kwa shilingi 150000 haipungui hata mia mie niko mwanza na namba yangu ni 0764339400 tafadhali usinipm kama umependezwa ncheki kwa hyo namba
tchao
Salute Wakuu,
1.Shamba zaidi ya heka 70 lipo Kjro Mdau anahitajika aje
awekeze katika kilimo cha mboga mboga.
2. Camp site / Recreation Park eneo lipo Moshi - Mdau anakaribishwa.
Kwa maelezo...
Wapendwa;
I am trying to think if there is away we can use our valuable time effectively and earn money.
Frankly I have been trying to search through the net as well liaising with friends from...
galaxy note III mpya inapatikana kwa sh laki 8 tu..pata galaxy note 3 kwa bei sawa na bure
contact 0652206863 au ni pm
specifications
http://www.gsmarena.com/samsung_galaxy_note_3-5665.php
Toyota Harrier iliyoagizwa kutoka JAPAN inauzwa kwa bei nafuu kabisa SHILINGI MILIONI 18. Haijatumika Dar Es Salaam. Imeshalipiwa Ushuru. Imeshasajiliwa. Engine size CC 2160. 4WD. CHASSIS No...
wadau naulizia mahali ilipo zizzy massage and spa iliyopo mbezi beach iko sehemu hapo mbezi beach mwenye direction plz..au kama kuna anafahamu massage nzuri hapa dar:A S thumbs_down:​
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.