Jaman kwa yule anaetaka kutembelea usafiri au kufanyia biashara nauza gari yangu aina ya funcargo, ipo katika hali nzuri sana, nauza sababu ninazo mbili, gari kwa sasa ipo iringa.
Hi everybody,
Connect your distant premises, Have your bussines / resident places linked to one another. Share your electronic / digital data to distant places. All these get enhanced using point...
habari wote,
From:Professional Pest Control Tanzania Limited
Napenda kuwafahamisha kwamba ,kampuni yetu inafanya shughuli za kupulizia wadudu/fumigation kwa wadudu wa kila aina ,majumbani na...
Tunauza cable zitakazo kuwezesha kuunganisha laptop yako kwenye tv ili uweze kutizama muvi kwenye screen kubwa,tv inayoweza kuunganishwa ni yoyote iwe ya chogo au flat,ipo cable maalumu...
Kuna ndugu zetu wa IT walikuwa na utalaam wa kuunganisha, internet Unlimited sh 10,000 kwa mwezi,yaani mtu unapiga mnyonyo mwezi mzima, kitambo sasa sioni matangazo yao kwenye jukwaa, wajitokeze...
nyumba inauzwa kubamba , ina vyumba vitatu na kimoja selfcontainer , sebule ,kiwanja chake kimepimwa na kina hati miliki, ipo umbali wa meta 500 toka barabara morogoro road , kuna barabara mpaka...
Habari...
Wadau natafuta chumba na sebule mitaa ya survey, mwenge au mikocheni maana nafanyia kazi mitaa hiyo... Bei ya pango ya nyumba nitakayoimudu ni kati ya tsh.80,000-120,000/= kwa mwezi...
Ndugu zsko heri ya nwaka mpya,Namshujuru Mungu nimevuka salama,Nawaomba saana kwa kina anaeelewa kwa ujumla gari aina ya Suzuki Aeriol na Toyota Raum,kwa maana ya oil consuption,spare parts...
Habari
Nimeamua kuuza shamba langu ,maelezo kuhusu shamba ni kama ifuatavyo.
ukubwa:hekari 30,linauzwa lote kwa pamoja na sio vipande
eneo:wami dakawa,karibu kabisa na ranch ya mzee mwinyi...
Ni used lakini zipo kwenye hali nzuri.
Nokia E71 Tsh 120,000=
Huawei Ascend Y200 Tsh 140,000=
SIFA ZAKE NA PICHA UNAWEZA KU-GOOGLE
Maana natumia simu nimeshindwa kuweka.
ni Pm au Nicheki hapa...
Simu tajwa hapo juu inauzwa,Haina hata wiki toka itoke dukani,sababu ya kuuza nimepata simu nyingine,ni andoid 2.3.5 WhatsApp,Instagram,na mambo mengine mengi yapo poa,unaweza kui-google pia,simu...
TANGAZO TANGAZO
Pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji) aina ya tvs king (rangi ya blue) inauzwa. Imetumika kwa mwaka 1, iko katika hali nzuri.
Bei ni Tsh 3,000,000.
Kwa maelezo...
Betri imeisha kabisa ukiichagi inaonesha alama x kwenye ile alama ya betri,sensor imestuck na housing imechoka sana. Ukimeo wake ni huo tu. Unaweza kuitengeneza na kuitumia vizuri tu. Haya nipeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.