Wakuu salama ? kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia nikapata luku yangu ya kujitegemea ili kuepuka mzozo wa kuchangia kulipa umeme, sisi tuko jengo moja hapa kariakoo lenye...
Hey wadau nna iphone 4 nahitaji ku unlockiwa..!! Kama wewe n mjuzi na mtaalam au unajua wap wana unlock kwa bei poa nitext namb yang n 0653 457659
Thanks
Daima jamii forum
Nauza BlackBerry Bold 9780...white in colour,haina tatizo lolote...!!
#it z still in good condition,with no Scratchez...!!
»For Serious Buyers u can PM me...!!
»Price; 200,000/=Tsh
HUAWEI ASCEND Y300
WCDMA Mobile Phone
4.0-inch WVGA 16M TFT Capacitive Touch Screen
5.0MP Camera with Autofocus and Flash
Dual-core 1.0Ghz CPU
AndroidTM OS 4.1
HSPA/WCDMA
Fast Boot.
Utapewa...
Natafuta mtu wa kunikabiz gari aina ya noah niigie nae mkataba hata kama chini ya Mwanasheria,kwa hesabu ya elf Tsh. 30000/: kwa kila siku. Kazi yake nikuibebea na kusambazia vifaa vya...
Wadau wa arusha natafuta nyumba ya kupanga hasa maeneo ya njiro au kijenge mwanzo mwanzo.offer yangu ni 150,000 mpaka 200,000.zaidi ya hapo itategemea vigezo maalum kama muda mfupi wa kulipa pango...
Habari,ninauza na kuagiza Magari kutoka Japan Kwa bei nzuri,karibuni sana sana,na hata ukiona gari unataka nikuaagizie au nikushauri karibun sana...0719 717555
Natafuta kazi ya Graphics Design,ni mzoefu sana kwenye shughuli hii,nimefanya kazi nyingi za Graphics kama kudesign artworks kwa ajili ya mabango(Billboards),CD/DVD covers,Logos,etc hivyo nna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.