Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Bought 2months ago still new... Serious buyers PM we make business kama huna hiyo hela comment ujinga uridhishe roho yako. price 500$
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyojieleza. Twitter A/C For Sale. 60% Ya Followes Ni WaTanzania.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Galaxy S4 clone mpya pieces za kutosha, zipo kwenye box na accessories zake zote: Charger, earphones na usb cable, price: 350,000/= Tsh Nicheki PM au contact 0716683434
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Najua wazazi wanapata shida kuhusu watoto wao suala la usafiri wanipigie 0714064767 ili tuelewane gharama ya mtoto kumpeleka shule
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa hv siitumii....ipo tu nahitaji kuiuza...nipeni bei isipungue laki moja wakuu...shukrani
1 Reactions
1 Replies
812 Views
kama una laptop aina ya DELL 630 au 620 ilikufa display, housing au kwa vyovyote, lakini mother board yake ni nzima na uko tayari kuuza nichek kwa PM au sms 0686822006. ukiwa Dar, Moro, Iringa...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Printer aina ya canon naiuza ni mult purpose inaprint coloured inatoa photocopy na inascan. Naiuza kwani nasafiri na haijatumika sana bei 120000/= 0715696920
1 Reactions
5 Replies
949 Views
Specification : model-optiplex 170L Ram-512mb Processor-3ghz HD-80Gb.Bei maelewano,txt me 0656063933.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nauza hizo kitu zipo ktk hali nzuuri kabisa,nipo dar,vingunguti...karibuni
1 Reactions
8 Replies
1K Views
stalet carat limited kwa m6 pm if ur interested
0 Reactions
3 Replies
848 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta simu ya kununua aina ya androd bei niliyonayo ni laki moja cash aliyonayo aniPM
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kiwanja kipo Kihonda Morogoro kina offer. Ukubwa 600sq mita , huduma ya maji umeme ipo kimepimwa karibu na barabara. Bei maelewano, nipigie 0715500248. Au 0756171831
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu tusaidiane. Ile fursa ya kuongeza pato lako kupitia Perfect App inakaribia mwisho. Jiunge mapema kabla ya Februari 28 kwa kubofya/kufuata "link" ifuatayo: The Perfect App Isitoshe...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Husika hapo juu, natafta Chumba Master na Sebule maeneo hayo offer yangu 150,000 kwa mwezi. Ikipatika Master pekee pia sio mbaya offer haisizidi 100,000. Terms ni miezi 6 zote ikizidi sanaaa 8, ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
simu tajwa hapo juu inauzwa kwa bei hiyo,ni used ila haina tatzo lolote inakaa sana na chaji.. ncheki kwa 0765050591..
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Chumba na sitting room vinapangishwa kigamboni .umbali wa dk 15 kutoka ferry .kuna maji .vyumba vipo vizuri sana. Pia kuna chumba.sitting room na choo,kuna fence na maji yapo kama dk 18dk to ferry...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, anahitaji mtu mwenye uzoefu wa kutosha katika kazi za butcher, butcher Iko kinondoni.per day sh 7,000.Kama kuna mdau yeyote anamtu anamfahamu mwenye uzoefu na hii kazi na anatafuta...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
nauza simu yangu tajwa hapo juu kwa shilingi laki 4 tu nimeitumia kwa wiki tatu ni ya at&t
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba kwa mwenye simu hiyo au htc smatphone yeyote na anauza anipm
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Wakuu nahitaji hiyo cm kwa anayejua maduka ya bongo inauzwaje anisaidieee
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Back
Top Bottom