Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nyumba ya kupanga inahitajika haraka. Iwe maeneo ya Mwenge, Kijitonyama, Sinza, Makumbusho au Makongo. Vyumba viwili hadi vitatu vya kulala na iwe na uzio unaojiyegemea. Kodi kati ya 250,000/=...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Nauza Gari: Accura Honda kwa Milioni 3.5, Specifications: Rangi;Silver, Mwaka;1994, Radio, TV, na spika kubwa. Anaeihitaji ani PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama kuna mwenye hyo simu ikiwa katika hali nzuri na kwa hyo bei ikiwa na charger na ear phone anaweza ni pm tufanye bzness
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Year: 2002 Km: 121,000 Engine capacity: 1988cc Very good condition working well Full a/c Radio AM/FM CD player Autolocking system Bei 5.9mil 0716398757 Serious buyers
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari zenu wadau nauza mbao bei ni nzuri bidhaa ina ridhisha na muda unazingatiwa sana kwangu karibuni napatikana iringa mafinga, kwa mawasiliano zaidi utaliijackson@yahoo.com ay...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye kujua bei ya hizo gari mpya hapa Dar inisaidie pls.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Machine aina ya Canon IR 1600 na 2priters canon ma HP Multifunctions,lamination machine. Kwa mawasiliano na.0754258340
1 Reactions
3 Replies
3K Views
kama tittle inavyojieleza hapo juu mwenye hyo gari tufanye biashara
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza toyota carina TI bei ni 6.2 milion namba zake ni BJG,safari zake ni kazini na nyumbani tu, picha zitakuja soon and if ur interesting just pm me.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Badala ya kupata 5GB KWA mwezi vodacom kwa 25000/=, utapata kwangu kwa 10,000/=
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wenu hv ni kweli samsung galaxy S4 Clone inafanana original kila kitu? hata uwezo wa net? na je kati ya nokia lumia 820 na hiyo clone ipi bora?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna nyumba zinapangishwa mbezi beach. Kuna nyumba yenye vyumba 2, sebure dinning, choo na jiko la nje etc NB: Kukupeleka kuona sh. elfu kumi. Call or txt 0656063933
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari ya leo wakuu. Tovuti ya Global Adverts » http://www.globaladverts.biz inauzwa inahusika na kuuza na kununua bidhaa... sababu ya kuuza: kukosa usimamizi kwa bei na maelezo zaidi ni...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Ni dell, latitude D 620. RAM GB 1 plus nyingine ya MB 512, HD GB 80, Battery masaa 3+, ipo katika hali nzuri. Nina shida ya pesa kwa sasa, naiuza kwa 300,000/= tu!
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Habari wana jf 1. Kwa wale wenye matatizo ya uzazi (kutopata mtoto). Kama ulishawahi kupata mtoto mmoja na inashindikana kupata wa pili, pia kwa wale ambao wanashindwa kupata ujauzito kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana-JF, nauza king'amuzi cha STAR TIMES, cable yake na antenna, bei 60,000 Tshs! Kama vp ni-pm!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za majukumu wanaJF, Ninauza vitu vya ndani vifuatavyo ambavyo vipo MWANZA, MABATINI: Kitanda cha 5" * 6" (cha mbao ya mninga) na godoro lake la Tanfoam - 230,000/= Makochi mawili, La...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni pm for price na more information Nimejaribu kuweka picha zinagoma, Kwahiyo ni pm kwa picha na maelezo zaidi 2006 HUMMER H3,49000 MILES REAR SEAT DVD, AUTOMATIC
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Natafuta fremu maeneo ya Tabata, isiwe mbali na Tabata Relini au Tabata Mwanachi. Nina maana isiwe mbali na Barabara kuu ya Mandela. - Fremu iwe Kubwa kama zile zinazoitwa 2 in 1 - (Futi 20 kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, unajua kua unaweza kuipata CITIZEN TV vizuri kabisa kupitia Dish lako la kawaida? Na haihitajiki kulipia wala nini,,,,,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom