Used Photocopy Machines Canon NP 6030/6220/6020/6317 & 6216 from United Kingdom (U.K) for sale at a very reasonable prices.
The advantages of these photocopy machines are:
1) The have low...
Nauza iphone 5 original form uk, ilikuwa locked to uk vodafone lkn imefunguliwa, bei ni 750,000, Rangi ni nyeupe, imetumika kwa muda mchake, iko katika hali nzuri, kwa anayeitaji ani PM...
wakuu hiyo tab inauzwa...details zake ni kama ifuatayo
android-4.2.2
processor-dual cal, ram-1536mb, colour-white, ina wifi,3g na inatumia micro card(line ya kukata) ipo kwenye hali nzuri sana...
Harrier isiwe chini ya mwaka 2004
Nissan x-Trial isiwe chini ya Mwaka 2004
Noah isiwe chini ya Mwaka 2006
Ipsum Isiwe chini ya Mwaka 2006
au Wish nayo isiwe chini ya Mwaka 2006
Nataka Gari...
Wadau
Nyumba ya kupanga inahitajika ikiwa na vifuatavyo
1. 2 Bed Rooms - One should be master
2. Sitting/Dining Room
3. Bath/Lavatory Room
4. Umeme wa kujitegemea - No sharing Luku
5...
Tunapokaribisha mwaka mpya 2014 ni vyema pia kupanga mambo mengine upya na kuyaweka katika ubora ili kuweka tofauti kubwa kati ya yale tuliyoyafanya mwaka uliopita na yale tutakayoyafanya mwaka...
Habari zenu akina dada,nimewaletea viatu vizuri sana vya kike kutoka UK,kuna aina tofauti kwa ajili ya ofisini,mitoko na mizunguko ya kawaida mjini,bei in tsh 65,000
NB:flat shoes ni tsh 45,000...
Natafuta LINE ya UWAKALA ya TIGO PESA Kwa yeyote anayeuza au anayemjua mtu anayeuza , Bei nitatoa kati ya Tsh 350,000 hadi 400,000...Ni PM kama unayo tuongee biashara...!
Inspire Consultants itaanza kutoa mafunzo ya CPA
1. Mafunzo yatafanyika WEEKEND NA JIONI (SIKU ZA KAZI).
2. Waalimu: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM BUSINESS SCHOOL EXPERIENCED STAFF
3. Venue...
Nimepoteza iPhone 4 yangu (sijaibiwa).
Na kwa vile ilikuwa imeisha charge nadhani kuipata itakuwa ndoto.
NATAFUTA iPhone (4, 4S, 5) yenye gb 16, 32 au 64).
Simu iwe nzuri na imara (siyo za...
Nauza pikpki aina ya fekon kwa bei tajwa hapo juu ila bei inapungua kwa ambae yuko siliac anipigie kwa no: 0657-610505 ili tufanye biashara ina miez sita tangu nimeinunua
Wale watumiaji wa simu za blackberry kwa mara nyingine tena nina waletea simu tajwa hapo juu ikiwa na bei ndogo kabisa na fursa ya kuishusha bei hiyo una patiwa . Kwa sifa zake samahani tembelea...
Wana JF, nauza blackberry bold 9900 touch screen na keypad smartphone. Screen yake scratch resistant haikwaruziki hata uiweke na coin au funguo, camera yake ni 8MP inatoa picha safi na nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.