Unapata shida kusafirisha mizigo, bidhaa, kwasababu hujui wapi unapata gari, hujui gharama za kusafirishia,
au unapigwa na watu wa kati na hujui jinsi mambo yanavyofanyika?
Kwanini upigwe kwa bei...
Hello Mambo vipi, nauza saluni ya kike ina kila kifaa cha kuanzia tena bado vipya kbs pamoja na baadhi ya mafuta na dawa za aina tofauti tofauti.
Drayer, Handdrayer,Steamer, Vioo, Pasi na...
Habari wakuu kuna Frem za biashara mtaa wa Masasi na Msimbazi jengo jipya zinapangishwa.
Gharama za frem ni Milioni 9 kwa mwaka pamoja na 500,000 ya udalali.
Frem hizi zinafaa kwa mtu mwenye...
Nauza kuku pia unampata tayari amenyonyolewa na akiwa na firigisi yake na maini.
1. Kuku broiler1@8,000
2. Kukukienyeji@23000
3. Kukumayai1@15,000
4. Firigisi 20@8,000/=
5. Drumstick1kg@9500...
Wasaalam,
Kama somo tajwa hapo juu. Yeyote anayetaka saruji (cement) ya twiga kwa bei ya jumla.
Kiwango cha chini ni tani 10 au mifuko 200 kwa dar.
Mikoani ni kuanzia tani 25 au mifuko 500...
FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU KABISA, USAFI WA:-...
Ni miaka sasa nimefanya kazi kwenye Taasisi(NGO) Kubwa isiyo ya kiserikali na kazi mbali mbali za kitafiti, sasa imenilazimu nije nitoe consultation kwa NGO ambazo ndio zimeanza na mpya kabisa...
MONEY COUNTER MACHINE
Heavy duty, multicurrency count, One tray
Inatambua noti feki
Ina uwezo wa kuchanganya noti za thamani tofauti inatoa value sahihi
Ina uwezo kutambua noti za mataifa mengi...
Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi.
Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya"
Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri.
Sababu...
Habari, Kama uzi unavyojieleza. Nitakua nikipost hapa nyumba, Viwanja vikubwa na Apartment zinazouzwa. Location na bei. Zaidi ni nyumba za Dar es Salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.