Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
ipo katika hali nzuri bei ni 130,000Tsh . kwa anayehitaji tuwasiliane kwa no.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habarini za majukumu wanajamvi jamani nahitaji ushirikiano wenu pamoja na ushauri wenu kama kuna mtu anafahamu eneo ambalo linafaa kufungulia stationary kwa maeneo ya dar please naombeni...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Waungwana nauza Noah yangu imetembe Km 147500 ipo katika hali nzuri na hapa Tz ina mwaka miezi nane Bei kuanzia Milioni Tisa na maelewano yanaruhusiwa.Inapatikana Arusha haijafanya biashara...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ndio hiyo, mwenye kuhitaji PM me please! simu iko poa kabisaa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ninauza camera hii kama ilivyo kwa sh laki 4 tu,kwa mawasiliano ni pm ama 0768808819
1 Reactions
7 Replies
2K Views
kiwanja chenye hati kilichoidhinishwa kwaajili ya ujenzi wa ghorofa eneo la iwambi (new satelite town) block f" katika jiji la mbeya kinauzwa tshs 12 milion, mwenye kuhitaji tuwasiliane ​
0 Reactions
0 Replies
1K Views
oyoooh na hitaji galaxy s3 kwa laki tatu kama kuna mtu ypo owky kwa hyo bei
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Anaeuza king'amuzi cha startimes T2 ni PM
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Scania M113 single cabin na tela lake linauzwa kwa bei nzuri gari hii ya kazi ipo tayari kwa safari kwenda kokote bei 27m for more details call on 0762 854563 0732859230
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tanga Tradition Clinic ni clinic ilipo kimara imekuwa ikionesha maajabu yake kwa kutibu magonjwa sugu hasa yale yaliyoshindikana hospitali kwa kutumia tiba asilia,wengi wamepona na kutorudiwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Model: E 303 hilink ya vodacom. Bei: 20,000/= imetumika wiki chache, almost mpyaa contacts: 0716683434
0 Reactions
4 Replies
844 Views
Make: Suzuki Model: Swift Model Number: GH HT51S Body Type: Station Wagon Colour: Pearl Class: Light Passenger vehicle (Less than 12 persons) Year of Manufacture: 2000 Chasis No...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Natafuta mfanyakazi wa ndani ila awe ni wa kike na amemaliza elimu ya sekondari. Mshahara ni shillingi za kitanzania laki moja Net. Atakua anakaa kwangu. Kazi yake kuu ni kusaidia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nilikuwa naomba wapi naweza kupata Computers za kuongeza ujuzi kwa mtoto,sio hizi zetu za watu wazima.Ni kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza(6 yrs) Naziona kwenye TV tu ila sifahamu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu! Nauza Nokia Lumia 800. Iko katika hali nzuri,black colour, imetumika 4 weeks only. Bei ni 350,000 cash.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau natafuta Suzuku swift ambayo ni :car:manual; pia naomba kuua bei za hayo magari huko kwenye hizo yard Dar?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta suzuki swift au duet. kwa yeyote anayeuza nijulishe.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wanajf .naomba mnisaidie nimejaribu kuuplord picture inashindikana .kila nikijaribu haiwezekani.naomba msaada wenu .nijinsi ngani ya kufanya??
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Jamani wanajamvi natafuta mtu ambae ameshawahi kufanya biashara ya export&inport kati ya tanzania na sweden. Kuna jambo nahitaji kusaidiwa.
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Nyumba inapangishwa eneo la kiloleli mwanza ina vyiumba vitano viwili ni self. Ina jiko moja cpublic toilet,uzio, sitng rom moja..karibun watu wa mwanza pm kama utaihitaji.Thanx
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Back
Top Bottom