Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ninahitaji Appartmnt ya kupanga Dar es Salaam kwa muda wa mwezi wa 11 kwa Shilingi 500,000/-. Maeneo ya K/Nyama, Makumbusho/ Mikocheni A or B/ Oysterbay/ Msasani or Upanga. Iwe furnished tafadhali.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni mpyaaaaa kabisa aina ya olympus no.u-7010 Optical zoom 5.0-35.0mm' 12 megapixel made in indonesia designed by Olympus in Tokyo...bei ya kutupwa nitafute 0689545870...sina hela thats why naiuza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana Jf, nina kiwanja Iringa mjini kina ukubwa kama wa Hekari moja. Nataka nikipime na nikate hati. Kwa anayefahamu itanicost Tsh ngapi, kukifanyia vipimo na kukata hati chote. Mchango...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Model: Samsung 530U3BI Processor: intel(R) Core i5 - CPU @1.60GHz (4 CPUs) Ram: 4GB HDD: 160GB Battery life: 5 hours Location: Sinza Dar Condition: used but not in Tanzania...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kipo kihonda kwa chambo. Ukubwa 600sq kina hati kimepimwa. Huduma ya maji ipo, umeme upo. Ipo barabaran. Na kutoka barabara kuu ya dodoma km 3. Bei maelewano. Contact. 0715500248
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza kiwanja kiko tungi karibu kabisa na barabarani.ukubwa futi 19/30,bei 5,500,000/=.sim 0717/0758 373037
1 Reactions
8 Replies
2K Views
aina yeyote ile but isiwe na tatizo lolote contact me through 0769575725
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Laptop inahitajika haraka.Yenye specifications zozote Ila iwe na HDD 300gb na kuendelea. Ofa yangu ni shilingi 400,000.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Anadawa hasili za kutibu na kuondoa kabisa tatizo la NGUVU ZA KIUME na kukupa uwezo wakurudia tendo zaidi ya mara 4 na kuchelewa kufika kileleni kwa muda wa ( dakika 30- 35 ) pia na kurefusha na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ina Vyumba vitatu vya kulala, jiko, subure, garage ya magari mawili, uzio. Ipo pembezoni mwa Sokoine Drive Road. Bei maelewano. Mawasiliano. 0755312233
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Rav4 iko ktk condition nzuri inauzwa bei mil 10 imetembea km 117000 rangi ya green, hatuitaji dalali, wasiliana nasi 071380200x
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ina vyumba vinne vya kulala. Ipo pembezoni mwa ''New Bagamoyo Road''. Kodi maelewano. Ulizia kwa kupiga simu hii au tuma sms au kwa njia ya WhatsApp. 0755312233
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa kwa shs laki tatu na nusu. Imetumika kwa mwezi mmoja. IPO name chaja yake, inafungua program zote ikiwemo play store bila wasiwasi. Contact 0714-408238.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, jiko baraza kubwa. Kodi shs 300,000 kwa mwezi Kuiona piga simu 0755312233
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye lcd ya Blackberry 9780 aniuzie
0 Reactions
14 Replies
1K Views
DAKIKA 50, 400MB na Sms bila kikomo. Bei ile ile ya Tsh 999 Wakati Juzi juzi hapa Vodacom na Tigo walimwiga kwa kuweka na wao Vifurushi.. Kapandisha kwa speed The battle continues JUZI...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
mwenye huyo simu used aniuzie naitaka haraka nina hicho kiasi nilicho andika hapo mwenye nayo aniuzie
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama unataka kuwezezs ktk sekta ya hotel, au ardhi hii ni fursa njema kwako. Kuna beach plots zinauzwa mtwara eneo la msanga mkuu. Eneo linaukubwa upatao ekari 1. Kwa mawasiliano pigs namba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau habari zenu!kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Msowelo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro!zipo heka kumi (10) zilizopo karibu na mto Msowelo hizi zinafaa kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji na...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
PlayStation 3 250GB Games Tatu Za Buree Used 3 weeks. 600,000Tsh +255 756 412 337 Serious Buyers Only!
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Back
Top Bottom