Wanajamii,
Mtajwa hapo juu ni rafiki yangu tulopotezana tangu mwaka 2008. Alimaliza Sheria UDSM mwaka 2006. Mara ya mwisho alikuwa ni Solicitor Mtwara. Mwenye kujua 'whereabouts' zake...
nauza gari aina ya toyota carina ------ ya nyani bei milion sita na nusu, mmiliki wake ni mmoja na imetunzwa vizuri sana,picha zitakuja soon, if ur interested just pm me.
Nilikuwa mahali fulani office mjini mara nikaona vijana wawili wakiongea mmoja akawa anaondoka mara mwenzake akamwita!Jamaa akamjibu niache bwana mimi natafuta demu Jeiefu!!
Nikasikia roho...
Helo JF. Nauza vits ipo kwenye hali nzuri na ina one user since iwe imported hapa nchini. PlateBei ni sh 6.6 million kwa mawasiliano nicheki kwenye 0716-369299.
Sent from my BlackBerry 9800 using...
Kwa anayehitaji mayai ya kuku wa kisasa jumla na rejareja kwa bei na fuu, ni makubwa na fresh, mayai hayakai more than one day bila kumfikia mtumiaji, uwasiliane kwa no. 0758768855 pia tembelea...
Wakuu nimeokota Driving lecence yenye number hizi 4000107086 , kwenye DCM la mwenge - mbagala rangi 3
jina la mwenye leseni ni : Hassani Saidi Kilumbi. kwa mwenye kumfahamu huyu jamaa au yeye...
basi linauzwa,
hino rainbow, 1988 reg
26 seater,
3899 cc
manual
ushuru ni juu ya mnunuzi,
ipo bandarini, mwenyewe ameshindwa kuitoa na ndio maana anaiuza
bei milioni 18 tu.
Piga simu...
Eneo la mbezi juu karibu na kanisa la TAG mbuyun. Ukubwa upana hatua 20 kwa 30 umeme upo karibu maji kwa gari. Bei 6ml mapatano baada ya kuona. Cont. 0715500248
Wakuu Nauza flash 8 gb kwa 13000/= warrant mwaka mmoja zinapatikana jordan university nina duka pale kwa mawasiliano piga 0683672508 kama mtu yupo morogoro atahitaji afike hapo chuo
Desktop Hard Drive Disk
capacity - 2TB = 2048GB
Price - 160,000 Pia maelewano yapo kama umepungukiwa
fika banana stand ya mabasi yaendayo kitunda
or call 07-13/89 - 444 993
viwanjaviwili vyenye ukubwa wa ekari 20 vyenye hazina ya madini aina ya dhahabu vinauzwa mkoani geita, vimepakana na mgodi unaoendeshwa na kampuni kubwa ya geita gold mine, viwanja vina hati...
Nyumba hii ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa masta, sebure, sehemu ya kulia chakula, jiko na store. Kiwanja chake kina Hati Milki na ukubwa wa mita za mraba 1700. Nyumba ipo upande wa...
Mwaka kesho Nina tenda ya kubeba wanafunzi Wa nursery IPO ubungo emaus mwenye gari la Noah anipatie niingie nae mkataba kwa mwezi namlipa yeye pesa nzuri Tu 0714064767
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.