Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyosema, nauza ipod yangu original ya 8GB sh 80,000/. Kama unaitaji nicheki kwenye 0716-369299
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Eneo la ufukwe (beach) wa ziwa Victoria jijini Mwanza linauzwa! Linafaa sana kwa classic hotel au nyumba ya kuishi!
Lina ukubwa wa ekari 3 na liko eneo la Kayenze Ndogo nje kidogo ya jiji la...
Hellow wadau
Mwisho wa Mwezi huu nahitaji kununua Samsung HD Flat Screen 21" au 22" lakini kutokana na kahela kangu toka kwa bosi wangu "Kanyibay" sitokuwa na uwezo wa kununua MPYA,hivyo...
Salaam ? natafuta gari ya kununua LAND ROVER FREELANDER Iwe ina km zisizozidi 100,000 pia isiwe imetumika hapa kwetu Tz, substitute yake iwe NISSAN X-TRAIL DIESEL Tafadhali mwenye nayo...
Nunua ticket za kwenda kuwaunga mkono siku ya chakula duniani na pia kufurahi na michezo na mashindano tofauti,pale Hoteli ya Golden tulip,siku ya jumamosi,tarehe 19 mwezi huu wa kumi.Ticket ni...
Helo JF.
Nauza vits ipo kwenye hali nzuri na ina one user since iwe imported hapa nchini.
Bei ni sh 6.6 million.
Kwa mawasiliano nicheki kwenye 0716-369299.
Salam wana jamii.
Nina eneo la ukubwa wa ekari zaidi ya nne.
Ila ninauza ekari moja kwa bei ya Tsh 5,000,000/=
Eneo lipo mtaa wa kidimu, mita kama 100 kutoka Bara bara ya Lumumba / njia ya...
Samsung galaxy s3 clone nauza kwa Tshs 300,000..tu imetumika mwezi mmoja..
Interna mmry 16gb
Android version 4.2.1
RAM 1gb.
Line mpaka uikate
Google Playstore..
Kila app ya android inafanya...
mwenye gari kati ya zifuatazo gx100. altezza. rav4 au 6cylinder yeyote ani pm fasta nimpe hela kumbuka isiwe imepigwa rangi au kupata ajali namba ianzie B
Namtafuta rafiki yangu anaitwa Lemias C.Mkude nilikuwa nasoma naye Ifunda Technical School-Iringa,mara ya Mwisho kuonana naye ilikuwa mwaka 2000.Huyu jamaa alikuwa ni mwenyeji wa Morogoro na...
Habari zenu wanaJF, Nimejipanga kwa mda nahitaji kupata usafiri na kati ya magari hapo juu naomba mwenye uzoefu ni lipi bora zaidi interms of durability fuel consumption na kama kuna iniherent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.