waungwana nimepoteza katika mazingira ya kutatanisha nokia lumia 900 mpya,rangi ya bluu ;made in korea.from usa. Kwa yeyote atakae iona tafadhali tuwasiliane!
Kwa mara ya kwanza, bidha za Stucco Italiano zimeingia nchini. Moja ya bidhaa hizo ni Classic Venetian Stucco Marmorino Plaster Plaster hiyo inatumika katika kungarisha na kupendezesha...
Model - 2000
KM - 85,000
Car Type - Manual Car
Engine Type - RAV4 2000 CC
Car Owner - Lady
Car Condition - Perfect and it is ready for inspection.
Please contact me through PM or Mobile Phone...
Salaam ? natafuta gari ya kununua LAND ROVER FREELANDER Iwe ina km zisizozidi 100,000 pia isiwe imetumika hapa kwetu Tz, substitute yake iwe NISSAN X-TRAIL DIESEL Tafadhali mwenye nayo...
Kwa wale wenye kuhitaji mashamba,basi waje kwangu.nauza mashamba ya heka(acres) 20.
mahali yalipo.
kijiji cha VIKUGE (SOGA)
kongowe-kibaha
km 15 kutokea kongowe.
kwa maelezo zaidi wasiliana...
Kiwanja kizuri kinauzwa arusha eneo la engosheraton karibu na shule ya Edmund rice. Urefu ni 34 na upana ni 20. Bei ni 13m ila kuna maelewano hapo. Kwa maelezo zaidi tuchekiane pm.
Wa umri wowote especial mwanamke hata kama ana mtoto, maslahi mazuri na kazi sio nyingi.
Sehemu ya kazi sio mjini ila ni sehemu ya kati,malazi,kula n.k ni juu ya mwajiri na uhuru wa kutosha...
Heshima mbele wana jamvi !!
Kama heading inavyojieleza,nahitaji huo mzigo haraka iwezekanavyo,bajeti yangu ni 1000,000=
IWE KATIKA HALI NZURI
iwe ni ir series ila isiwe ir 1600
Nikon camera D40 iko ktk Hali nzuri kwa wale wanaotaka kufanya kazi ya biashara ya kupiga picha ,Bei Tsh 700000.00.
picha kufuata ,Call. 0712652110. DAR
All graduates searchingfor jobs are invited for a discussion and training session on Graduatesemployability. The discussion will focus on employability challenges, jobsearch techniques and the...
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
Jamani wandugu, nauza Play Station2, SONY, DVD-video, DVD-rome, Disc Compact, mpyaaa!! BEI NI SH.220,000 tu, kwa wanaotaka tuwasiliane kwa kingkahindi@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.