Tanzania ina watu milioni 45
wote wanataka huduma ya umeme ya uhakika na cheap
Tanzania tayari inayo Bilionea wa Solar
na mimi nataka nimjoin
je Inalipa kuleta solar ambazo zishakuwa assembled...
Nyumba ya vyumba vitatu,sebule ya kupumzikia,sebule ya kulia chakula,jiko,choo,bafu na store inauzwa kimara mwisho - ghorofani,njia ya kwenda bonyokwa,jirani na makaburi. bei ni 35,000,000.
Kwa...
habari wandugu
...nina mdogo wangu aliresign kwa mnkoloni na kulipwa tumafao twake kama 15m, na aliniuomba nimtafutie fremu ili aanzishe biashara!Nilianzia maeneo ya...
Tablet galaxy note 10.1 gb 16, ambayo inapiga cm, na inameza memorkad, 3g, camera, iko full na chaja yake mpyaaaa kabsaaa tsh 600000.
Warranty mpaka unaibiwa.
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 1,000,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
NYUMBA IMEPATA MNUNUZI NA KUUZWA LEO NYERERE DAY. kWA WALE AMBAO WANAHITAJI NYUMA YA KUNUNUA KWA BAJETI KAMA HIYO WANAWEZA KUWASILIANA NAMI KWA NAMBA HIYO HAPO JUU. ASANTENI SANA
Wadau, kuna vyumba kwa ajili ya wanafunzi University of Iringa (Tumaini University).
Vyumba ni self contained, maji na umeme. Nyumba ina maji na umeme na imezungushiwa uzio na kuna mlinzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.