Wadau kiwanja kina uzwa Mbezi beach Tangi bovu karibu na station kuu ya vodacom na Ofisi ya Baraza la mtihani. ukubwa ni mita 25 kila upande, kiwanja kina fensi ya ukuta kozi 4, umeme upo, hakija...
LOCATION: BOKO/BASIHAYA
PLOT SIZE: 925 SQUARE METRES
Ina vyumba vitatu kimoja master bedroom yenye balcon, ina sebule kubwa, dinning room, jiko la ndani, public toilet na bafu ya ndani.
Nyumba ndo...
Suzuki swift
Rangi Silver
Mwaka 2003
Automatic
1300cc
Mileage116,000 km.
Inauzwa 8.6m
Ipo Dar es salam.
Mawasiliano 0754379190
Imekwishalipiwa kodi zote za ushuru na hata bima. Wewe unaendesha...
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri...
Nina utaalam wa kununua quality items (online) at affordable and comparable price. All that you need is just send me your specifications then nitakuforwardia quality items of your choice from...
kiwanja kinauzwa mikwambe dar es salaam.chenye ukubwa wa futi 28 kwa 30.kipo mahali pazur pamejengeka kwa nyumba za kisasa, gari inafika mpaka kiwanjani,kimefikiwa na huduma za umeme na...
iwe unlocked yani iwe inakubali laini yoyote, iwe nzima na iwe haina tatizo lolote, isiwe ya uwizi tafadhali. pesa taslimu niliyonayo ni hiyo TSH 15,000/= , napatikana Ubungo, Dar es salaam...
Hello people, MImi ni mwanafunzi wa chuo na nimetengeneza website yangu nzuri ya vitu KADHAA wa KADHAA naomba cheki it out ....
kwa sababu nimeona FURSA nika THUBUTU naombeni muitembeleee...
Shamba kubwa Mkuranga zaidi ya eka 10 na ukitaka zaidi utaongezewa kulingana na mahitaji yako.
Linafaa sana kwa: Kilimo, ufugaji, shule, kiwanda, makazi nk.
Wasiliana na Bw. Salum Ngohengo kwa...
Nyumba moja kubwa yenye vyumba vinne (vyote self-contained) inauzwa. Ipo Chanika, Masantula. Ina nyumba ndogo ya uani yenye vyumba vitatu, viwili vinatumia sebule moja. Nyumba hiyo imo katika eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.