Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Pata eneo kubwa kwa ajili ya kilimo,ufugaji, shule, kiwanda,makazi,nk huko Mkuranga Kiparang"andabarabara ya Kilwa. Eneo lina ukubwa wa ekari 10 na zaidi. Ukitaka zaidi utaongezewa hata kufikia...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
cc: 1580 mileage: 130,000km condition: good condition price 8,500,000/- the car is available for inspection after 5pm maeneo ya mwenge to ubungo, kinondoni na sehemu za karibu contacts: +255...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili*
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, nina blackberry bold 9900. Bei naanza na 420,000Tsh. Biashara maelewano ni PM tuongee biashara.
0 Reactions
6 Replies
987 Views
Nisaidieni kwenye kuprocess namba ya wakala wa m-pesa, tigo na airtel imekuwa kama nafasi kwa wengine. Maana nimezunguka maofisini kwao naambiwa hawatoi kwa dar es salaama lakini ukitoka...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Nina laki moja mkononi nahitaji ps 2 fasta nicheki kwenye 0718 097 972
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Gari imesajiliwa mwezi wa tisa mwaka huu, No T....CNV, ina km 86,0000. Rangi ya silver. Airbag 2, Mziki, kama kawaida AC za carina mnzijua ni full kuganda, ina engine ya 7A. Bei ni rahisi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wapendwa.. Naomba kujuzwa utaratibu wa kununua gari Zanzibar na kulileta Bara.... Nasikia bei ya Zanzibar ni rahisi ukilinganisha na ya Bara, ila kuna kulipia ushuru...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wadau, kuna toyota duet inauzwa 5m mazungumzo yapo if ur interested ni pm.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Playstation 2 kama nne hivi zinahitajika haraka huku Arusha. Kama unazo tafadhali usisite kuwasiliana nami kupitia namba 0768 444 224. Asante.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau nahitaji mkopo binafsi ambao tarudisha laki na 20 kwa mwezi nahitaji milion 2 na nusu, tutaandikishana mpaka mahakamani 0766988326
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni pm ama piga simu 0768808819
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Habari zenu wana JF, Inahitajika nyumba ya kupanga vyumba viwili,choo na jiko. maeneo ya morroco,kawe,kinondoni au mikocheni..budget ni 200,000 kwa mwezi.kama unao msaada.Ni PM Thanks.
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Nahitaji Pikipiki Iliyo Ktk Hali Nzuri Na Yenye Documents Zake Zote. SANLG, BOXER na FEKON Nitafurahi Zaidi .weka Dau Lako Hapo. Itapendeza Ikiwa Ni Wa Kibaha-mlandizi, Kibaha-maili Moja, Dar Es...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HABARI WANA JF! Kiwanja kipo kigangomboni-mikwambe kama unaelekea kwa mh.mizengo pinda kikubwa na tambarale (miguu 23 kwa 34) karibu na barabara(mwendo wa dk3 kutoka rami) umeme jirani...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Model 1997 odometer 85,000 bei million 13,700,000. Namba chc double airbag haijatumika hapa tz. Import from japan check photo. Contact 0756 600311, 0782 335151
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari wakubwa, nauza Dell Latitude E6320 yenye specification zifuatazo:- 13.3-inch anti-glare 720p display (1366x768) Windows 7 Professional 32-bit Intel Core i5-2620M 2.50GHz...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu nauza simu yangu galaxy y pro imetumika uk kama mwezi mmoja. nauza laki moja na nusu mwenye kuitaji anipm
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Karibu nami mi ni fundi umeme mwenye uzoefu kwa Mawasiliano tuwasiliane kwa namba hii 0787577755 au tembelea group langu ndani ya Facebook na search Faabi Electrical Installation. Utapata kuona...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HABARI WANA JF! Kiwanja kipo kigangomboni-mikwambe kama unaelekea kwa mh.mizengo pinda kikubwa na tambarale (miguu 23 kwa 34) karibu na barabara(mwendo wa dk3 kutoka rami) umeme jirani kabisa,maji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom