Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Freezer kampuni ya BRUM ujazo litre 201 kugandisha ni chap chap umeme linatumia kama halitaki. Bei ni laki 4 KAMILI...
0 Reactions
6 Replies
741 Views
Huu ni mziki wangu nilikua natumia nyumbani kwangu naamua kuuza maana nahama mji wiki ijayo SIFA ZAKE NI - unatumia dc na ac yaani solar na umeme wa kawaida - una bass...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Fremu inakodishwa Mbezi mwisho kutoka stand ya Magufuli, Mbezi high school. Ni Km. 1.5 kwa njia ya Mpiji na kutokea Luguruni ni Km. 1. Fremu ina ukubwa wa Sqm. 115 ndani, inafaa kwa...
1 Reactions
8 Replies
798 Views
Kwema wananzengo? Anaejua zinapopatikana hizi sabuni anielekeze, naomba na bei yake kwa jumla, ndogo na kubwa tafadhali. Sitaki rejareja! Asanteni Usiku mwema!
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau habarini za kazi. Bado natafuta wateja wa kamba za katani. Na pia naombeni msaada kupata kufahamu kuna wachina kwa dar wananunua sana kamba za katani. Mwenye kufahamu hili naomba anipatie link.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Karibuni mjipatie Shamba la eka saba na nusu kwa bei nafuu ya shilingi milioni 20. Shamba liko umbali wa kilomita tatu na nusu kutoka barabara ya lami ya Dar Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Tunatengeneza mashine za kusaga pamoja na kukuboa mahindi,pia mashine za chakula Cha kuku,mixer za udongo pamoja na mashine za kufyatulia matofali,nk,karbuni sana wateja wetu tunapatikana mabibo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tunatengeneza mashine za kusaga pamoja na kukuboa mahindi,pia mashine za chakula Cha kuku,mixer za udongo pamoja na mashine za kufyatulia matofali,nk,karbuni sana wateja wetu tunapatikana mabibo...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Express and Quick Business Solution ni kampuni yenye uzoefu wa utoaji ushauri na huduma za usajili kimtandao kwa ufanisi na haraka. Usajili wa Kampuni Usajili wa log/Nembo ya biashara/Trademark...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Samsung galaxy jean 2 bado mpya nimetumia miezi mitatu tu tangu niinunue, naiuza 200k nipo Iringa mjini, ukitaka kufanya exchange na kitochi bei inapungua kidogo, ni simu yangu hakuna dalali.
0 Reactions
2 Replies
797 Views
Habarini ndugu, jamaa na marafiki. Hizi ni habari njema kutoka Edem Construction Material Je wewe ni miongoni mwa waathirika wa unyevu katika kuta za nyumba?? kama vile: a) Rangi kubanduka...
2 Reactions
1 Replies
5K Views
Karibuni sana tuwahudumie.
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Karibu upate Tanga stones. whatsApp +255 718755347 nipo Tanga, Mkinga (mgodini kabisa). jiwe kubwa moja utapata kwa Tsh 2,000/-, mawe madogo utapata kwa Fuso Tsh 250,000/- na square meter kwa Tsh...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Bei 350000 ina muda wa miezi minne tangu itoke dukani Ni lg original za uk inch 32 0689719676
0 Reactions
5 Replies
466 Views
Full set backery machine vifaa vyote vinafanya kazi. vimetumika mwaka mmoja tu! Yaan vingine ni vipya kabisaaa! Ukinunua kazi yako ni kununua unga nakuanza bakery yako!! (hatuuzi kimoja kimoja). 1...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
GRAPHICS DESIGN & PRINTING SERVICES GRAPHICS DESIGN & PRINTING SERVICES
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Mimi ni fundi mahiri wa ujenzi. Nifundi mzoefu na mbobezi kwenye kujenga:- Nyumba za makazi (single storey na double storey house) Nyumba za biashara Ujenzi wa mabwawa na Mfumo wa kisasa wa...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom