KUNA VIWANJA VIWILI VINAPATIKANA NZUGUNI KWA MASISTA NI NYUMA YA ENEO LA NANENANE. KIMOJA KINA UKUBWA 25M x 40M KWA SH. 5M NA KINGINE NI 80M X 35M KWA SH. 13M MAONGEZI YAPO KAMA MUHITAJI NA...
Tunauza machine za EFD za kutolea risiti. Bei nafuu na pia zina ubora wa hali ya juu. bali pia unaweza kulipa kwa
awamu kiasi chochote unachotaka kuanzia laki 200 kwenda juu kwa awamu. machine...
Tunafanya electrical installation, repair and maintainance , tunafanya all plumping works kama installation za fittings za maji safi na maji taka na pia tunafanya repair ndogo ndogo katika majengo...
Jipatie sasa sehemu hii ya kwanza ya kitabu hiki kwa Tsh. 10,000/=
ndani yake utapata muongozo wa jinsi na namna ya kujibrand kuanzia
maana ya Brand hadi jinsi ya kuanza kujibrand.
Jinsi ya...
Habari wapendwa, nimefungua ofisi ya uwakala ila ninauhitaji wa line ya tigo pesa, kwa mwenye nayo au anayeweza kunisaidia jinsi ya kuipata pls nitashukuru hivyo inbox me kwa kunipa jinsi au offer...
Nearly new nokia e72 for sale ,in excellent condition nimeitumia UK kwa 1 month only.Rangi ni nyeusi na inaweza kutumia kwenye whatsap .Bei 270 mweny kuhitaji 0713404014
Nauza
Electrical Cable Euro 2.5 Twin Roll 1 ya 100 metes mpya kabisa haijafunguliwa kwa sh laki moja na elfu 20(120,000/=)
Network Cable Seamon Cat 6 Roll 1 ya 300 meters mpya kabisa...
Kwa wale wasafiri na wakazi wa Mikoa ya Dodoma na Kilimanjaro sasa wanaweza kusafiri kwa Mabasi ya Champion ya mjini Dodoma hadi Tarakea mpakani kabisa wilayani Rombo kwa bei ya 33,000/= na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.