Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kuna nyumba ya kawaida Kitunda-Kivule inauzwa kwa bei ya shilingi 25,000,000. Piga 0788883962 kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Wadau, nimetokea kuipenda Alteza na ninataka kuinunua. Nimekuwa mpenzi na mtumiaji wa Nissan siku zote, nataka nitumie Toyota hasa alteza kwa kuwa ni sportish na ninapenda ilivyo. Ushauri wangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika maeneo ya Chanika-Kigogo kuna nyumba inauzwa, ni ya kawaida lakini ina eneo la robo heka na ni eneo linalosifika kwa usalama wa mali zako bei yake ni shilingi 70,000,000. Namba 0788883962...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Chanika mbuyuni kuna eneo zuri na safi lenye ukubwa wa mita 50 kwa urefu na upana wa mita 30 bei yake ni shilingi 45,000,000 na limegota karibu na barabara ya lami. Tumia namba 0788883962 kwa...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Kuna nyumba yenye vyumba 3 ipo Kitunda-Kivule mwisho karibu na Kananura Secondary School na kuna hali ya hewa nzuri na tulivu na eneo lake ni urefu mita 70 na upana mita 30 na inauzwa kwa bei ya...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Kuna eneo linauzwa lenye Ukubwa wa nusu heka lina vyumba 2 umeme upo na kisima cha maji ya chumvi lipo Ukonga-Mkoremba linauzwa 30,000,000. Kwa mawasilino piga namba 0788883962.
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Nyumba safi iliopo Ukonga Moshi Bar yenye vyumba 4, moja master room, sebule, jiko, daining room na nje kuna fensi ambapo kuna nyumba nyingine ndogo ina vyumba 3 na kila chumba na sebule yake na...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Eneo zuri lenye mvuto lenye ukubwa wa nusu heka karibu na barabara kuu ya chanika linauzwa shilingi 50,000,000, hapohapo kuna eneo lingine zuri linapakana nalo lenye urefu wa mita 40 na upana wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba ilioishia kwenye linta ipo Kitunda Relini jirani na Kanisa la Lutherani inauzwa, inahitajika kumaliziwa kwa upauwaji tu, bei yake ni shilingi 12,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788883962.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna Nyumba nzuri ya kawaida yenye vyumba 3 na sebule na eneo la ziada lakini haina umeme ipo Ukonga Bombambili inauzwa shilingi 15,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788883962.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa yeyote anaehitaji spare za pajero ilipata ajali ilitembelea kipaa tukaamua kuikatakata kwa hiyo kama unapajero yako umeipaki kwasababu umekosa spare labda turbo,engine,gear box,diff...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapenzi wasomaji... Naleta kwenu habari ya mjini kipenzi cha watu Altezza Gita rangi ya silver from Japan.... Ushindwe wewe tuuuuu... Km 97,000 aaahaaa full utamu..!! DVD player full movie kuona &...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, tafathali naomba mnisaide kunielekeza vijiji vya singida ambavyo vinakuaga na minada vya mara kwa mara ili niweze kupeleka bishara zangu,naomba pie mnieleze ni siku gani...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
habari wadau natafuta taa za mbele(kubwa) za gari aina nissan cube msaada please
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Camera 5 megapixel, storage 8 GB..text 0685072527..maelezo mengine google..inauzwa handset tu..simu ipo kwenye hali fresh snaps hizo hapo..inapatikana DSM..
0 Reactions
0 Replies
899 Views
8 GB Adata flash disk - 13,000 Order NOW thank me later: Call 0658663325
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wakuu? naombeni msaada nataka nianze maisha sasa kwaio nahitaji kiwanja. Maeneo tajwa na maeneo mengine ambayo bei iko nzuri. bei yoyote tuu lakin isizidi mil 6. kama una deal au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samsung Galaxy S4 (Tsh 1m) na S3 (Tsh 750,000) mpya kwenye Boxes zinauzwaaa. U can PM me if ua interested, warranty mpaka Unaibiwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari inauzwa TZS 8 mil Make: Toyota Phone Number: +255 717 522 964 Model: Nadia Email: danrimedr@gmail.com Model...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna nyumba ipo Ukonga Mazizini yenye vyumba 4, ina umeme na imejengwa kisasa. Bei yake ni shilingi 30,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788 883962.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom