Pata vifaranga vya kuku wa kienyeji toka Bena quality chicks.Tunao kuku aina ya malawi, chotara, Rhode Island Red, Barreck Rock, Bata Mzinga,tunauza vifaranga kila wiki, tunatoa ushauri kwa wateja...
Nyumba nzuri inauzwa ipo Ukonga Moshi Bar ina vyumba 9 umeme na kisima na ipo karibu na barabara ya mtaa bei ni shilingi 28,000,000. Kwa mawasiliano piga namba 0788 883962.
boxer bm150 imetumika kwa miezi 4 bado mbichi imelipiwa kila kitu yaani motor vehicle na ina bima kubwa(comphrensive insurance) bei haipungui nicheki kwa 0717022737 ilikuwa inatumika kwa safari za...
Karibu mjipatie asali safi kwa kutoa order yako kupitia namba 0683370065 au 0769129351 kwa wale mliopo DAR ES SALAAM AU MOROGORO na utaletewa ulipo bila kujihangaisha!
Lakini pia wakazi wa...
Simu tajwa hapo kwenye headline inauzwa ni Adroid system na inatumia line zote pasipo kuchagua. Bei ni 120,000
Kwa atakayehitaji piga namba hizi 0787577755 or 0717577755
Bei haishuki!
shamba hekar tano linauzwa kati ya hizo tano heka mbili lina mikorosho , lipo kijiji cha mwanzo kabisa cha wilaya ya rufiji kama ukitoka dar kuelekea lindi/mtwara au kijiji cha mwisho cha wilaya...
Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari mbili. lipo maeneo ya kibaha boko mnemela karibu kabisa na barabara ya kutokea mlandizi. umbali wa km12 kutoka tumbi. Eneo husika kuna umeme so ukijenga pale...
Eneo ni zuri linafaa kwa ujenzi wa makazi,maji,umeme vipo,eneo ni tambarare,ukubwa wa plot ni 70 kwa 70 hati ipo,km 5 kutoka barabara ya morogoro, bei maelewano anayejijua anahitaji anipm.
Kwa ushauri wapi uchukulie mikopo, kwann? na matumizi sahihi ya mikopo tuwasiliane!!
Pia kama unahitaji kusaidiwa jinsi ya kunakili, kutunza kumbukumbu za biashara zako kwa njia za kihasibu...
Nyumba ya vyumba vitatu, sitting room, Dinning room na jiko inapangishwa Makongo juu. Ipo ndani ya uzio, umeme wa Luku maji ya kununua inapangishwa.
Kodi ni laki nne kwa mwezi (400,000 per month)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.