Gari iko hali nzuri sana,n aina miezi mitatu toka ianze kutumika hapa Tanzania. Haijabadilishwa kitu chochote kama engine,seats nk.Imelipiwa Ushuru na BIMA.Gari liko Arusha Ukiwa unahitaji piga...
Natafuta mtu wa kunisaidia kutafsiri ujumbe uliopo ktk ukurasa mmoja tu kwenye document ninayohitaji itafsiriwe.
English-Swahili.
kwa malipo, siyo bure.
Deadline (anikabidhi kazi): Kesho saa nne.
kwa anayeitaji ramani ya nyumba katika usanifu wowote ani pm kwa david08606@Gmail.com au 0659497070 mi napatikana dsm.kwa uhakika zaid ya ninachokifanya angalia kwenye Iyo attachment
Wakuu habari zenu.. naombeni ushauri nataka niagize Toyota premio T24 series ya mwaka 2004...Kwa mnaojua magari vipi inafaa nikimaanisha ngumu na kwa safari ndefu kama za Arusha - Dar
Mimi ni kijana wa kiume natafuta kazi maeneo ya dar,elimu yangu ni form 4 pia nina uzoefu ktk mauzo,unaweza kuwasiliana nami kwa email hii herrysalum4@gmail.com au simu namba 0685763613
Habari wapendwa
Nahitaji pikipiki aina ya FEKON 150cc - 220cc iwe na road license, imekatiwa bima iliyotumika miezi 4 hadi 5
nitainunua kwa shs 950,000/= pls aliyenayo aniPM kwa mawasiliano zaidi...
Habari wakuuu nauza SAMSUNG MINI LAPTOP MODEL NP-NC110-P04NG
Sifa zake
Processor 1.7 Ghz
RAM 2 GB
HARDDISK 320 GB
WEBCAM
CARD READER
BLUETOOTH
Bei ni tshs.380,000/=.Maelewano yapo
Pia nitakupa...
Habari za sasa wapendwa
mimi nina shida sana na haka kagari kadogo dogo sasa naombeni msaada wenu ktk haya maswali yafuatayo:-
-Show room za Dar inapatikana kwa how much?
-Je bei yake ina...
Habari wandugu
Mimi ni mtaalamu wa mambo mbalimbali ninatafuta tenda za kupamba katika kumbi mbalimbali za sherehe, au shughulli kama vile mikutanoni, misibani, na shughuli yoyote, ni mtaalamu...
Ukonga Mombasa kuna nyumba inauzwa, nyumba in vyumba vitatu na master, daining room, sebule na jiko halafu kuna choo cha ndani na choo cha nje na bafu, pia maji yapo mda wote na ina fremu 3 moja...
Tunaprint jez na kuweka number kwa bei poaaa....!!!ni beeei poaaaa kwa maaana ya poa tupo tandika mwishoo mtaaa wa usangii....!!!kwa maelezo piga 0716163696
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.