Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama...
2 Reactions
14 Replies
448 Views
1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu. 2. Kukanyaga mafuta...
37 Reactions
153 Replies
62K Views
Mambo vipi wakuu Kwa waliowahi miliki Apple developer accounts kwa ajiri ya kupublish app zao app store Nahitaji account hizo kwa offer nzuri Asante.
0 Reactions
3 Replies
144 Views
TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo...
2 Reactions
2 Replies
300 Views
Kwema Wadau Inatafutwa Ya Kununua Land Lover Defender 110 Engine 200 tdi or 300 tdi (Diesel) Year 2000 - 2002 Double Cab Would Be More Likely But Not Limited Mnunuzi yupo Dar es Salaam...
3 Reactions
12 Replies
267 Views
2015 LAND ROVER DISCOVERY 4 SDV6 SE, 139,850 KM, U$ 20,000 Long range fuel tank, spare wheel carrier, 7 seater, navigation bar, Bluetooth, reverse camera, side steps, tow bar, high and low range...
2 Reactions
22 Replies
562 Views
Habari, Nyabiri tiba asilia ni kituo kinachotoa huduma za matibabu kwa kutumia dawa zinazotokana na mimie. dawa zetu ni za asili hazichanganywi na kemikali yoyote na ni dawa za uhakika. Tunacho...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu, Kuna Jamaa anauza Kiwanja kipo Nzuguni B Opposite na Nyumba 3,500 za TBA. Kipo Mahali pazuri sana, nimekiona na nilitaka kununua ila tumepishana bei kidogo. Ukubwa ni SQM 541...
1 Reactions
4 Replies
336 Views
Wewe mkazi wa Dodoma au popote ulipo, kama umekuwa ukiota kumiliki kiwanja Dodoma, sasa ndoto yako inaweza kutimia! Tunakupa fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu na chenye thamani...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Chagua Mwinuko unaopendeza kwenye Boma. yaan Standard nzuri ya kuvutia👇 _Sisi tunajua tuinue vip Paa ambayo ipo kwenye Bonde _Sisi tunajua tuinue vip paa ambayo lipo kwenye Mwiinuko/mlimani...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
LETE COMPUTER YAKO MBOVU TUITENGENEZE KWA GHARAMA NAFUU PIA TUNAUZA SPARE NA ACCESSORIES ZA COMPUTER AINA ZOTE TUPO ILALA DSM 0767953873
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Nauza simu NI mpya kabisa Infinix hot 40 pro GB 256 Ram 16
3 Reactions
20 Replies
570 Views
BITCLUB ADVANTAGE (faida) Tusambaze link tuanze somo Bitclub advantage ni muhim sana ni faida TENGENEZA FAIDA KUBWA KWA KUWEKEZA NA BITCLUB ADVANTAGE IFAHAMU BITCLUB ADVANTAGE HII ni kampuni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Tunatoa huduma bora na za kitaalamu za kutafsiri maandishi kutoka Kingereza kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kingereza kwa usahihi na umakini wa hali ya juu. Huduma zetu huhusisha...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Habari marafiki, Nina kijana wangu wa kazi anatafuta nyumba ya kupanga maeneo ya riverside. Mwenye nayo ailete hapa.
1 Reactions
5 Replies
770 Views
Habari Natafuta shamba la ukubwa wa heka 10 liwe pwani au dar
1 Reactions
23 Replies
727 Views
Nauza simu Aina Infinix hot 40 pro GB 256 Ram 16
4 Reactions
39 Replies
707 Views
Nauza Laptop yangu yenye sifa zifuatazo Brand: HP Model: Probook 645 G4 Type: Office + Gaming pc Ram: 8gb Processor: AMD Ryzen 7 Pro 2.2Ghz Video Card Memory: 2gb Storage: ssd 250gb Size: 14" Ina...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Wakuu za asubuh Nilikuwa napenda kuwauliza kwa maeneo ya Kariakoo wapi naweza pata FENI kubwa la panga boi la kuliweka sebuleni kampuni ya Panasonic au asha care ikiwezekana hata high class...
1 Reactions
5 Replies
213 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…