Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
is a very nice car in an excellent condition. mwaka 2002 cc 1790 km 102000 price 9800000 call 0713507487 0767507486 0782898210
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Biashara i phones zinauzwa i phone 4s- Tshs 800000 i phone 3gs- Tshs 500000 price negotiable!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye monitor ya pc aniambie specs zake na bei i prefer flat screen
0 Reactions
1 Replies
646 Views
SHAMBA LINAUZWA Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu waugwana! Jamani naulizia kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata injini aina ya Yamaha 9.9hp au Yamaha kubwa zaidi ya hapo, basi tujuzane. Asante
0 Reactions
3 Replies
7K Views
kwa wale wanaohitaji laptop used ambazo zipo ktk hali nzuri, sasa hivi ninamzigo wa VIJITSU, PROCESSOR 1.6GHZ, RAM1.5 GB. HDD 60GB. hd screen pia ina wifii, bei ni tsh 300,000/= kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HTC legend used inauzwa charger yake unapewa na usb cable yake.. Bei ni 180000 tu.. contact: 0713628941 Specification zake soma hapa www.gsmarena.com/ htc_legend-3141.php
1 Reactions
0 Replies
599 Views
Wakubwa, Nauza Marine sheet kama 100 na mbao. Marine nimezitumia kumwagia jamvi la juu kwenye kajumba kangu Tegeta. Kama unaitaji nitumie msg. Nauza bei ya kutupa, half of the price. 30,000 kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
BB 9900 safi kabisa ikiwa na accessories zake inauzwa kwa bei poa kabisa ya shillingi laki 6 tu mwenye kuhitaji tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Natafuta king'amuzi cha startime chakununua second hand kama upo dar call me!!asap 0757 600443 or text me.
0 Reactions
0 Replies
824 Views
jamani wapi naweza kupata housing ya n9 au kama kuna mtu anaya simu kama hyo ambayo ni mbovu hana mpango wa kuiteneneza au haitengenezeki tuwelewane aniuzie housing 0683808361
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Jamani natafuta chumba cha kupanga SINZA C karibu na The law school of Tanzania kodi isizidi laki moja kwa mwezi na nataka ya miezi sita
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba nzima ya kupanga inatafutwa. MAENEO: maeneo yoyote ya Temeke, Dar es salaam, ama nje kidogo ya wilaya ya Temeke. SIFA: Iwe ina choo cha ndani, iwe na marumaru ndani ya nyumba nzima...
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Wanajanvi naombeni msaada kwenu nina madini aina ya kasheshe lakin sijui soko nitapata wapi wanunuzi wa madini ya Aina hii hivyo naleta kwenu wanajamvi plz... plz.... nisaidieni waweza nicheki kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wana jf ninahitaji container kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. liwe linapatikana katika mkoa wa Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri. Bandarini yanauzwa lkn bei...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
PRADO TX IN GOOD CONDITION Model: 1997 Millage: 117,000km Cc 3000 Engine 1KZ Diesel, Color: Green 2 tone Transmission: AT 5 doors, 8 passengers, AC, PS, PW, AL, ABS. Price: Tshs 19m/-...
0 Reactions
3 Replies
877 Views
Ndugu wanajamii forum,natafuta CONTAINER kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. Container liwe maeneo ya Dar es Salaam. Bandarini yanauzwa lakini bei kidogo iko juu! Kama...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Wakuu habari, Nataka nianze ujasiriamali, na ningependa kuuza nguo za mitumba za watoto. Sasa shida sijui mabel ya mitumba yanauzwa wapi dar/kariakoo na ningependa kuuza nguo first quality sio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi. Ninashida ya kuelewa au kujua kama kuna promotion yoyote inayotolewa na kampuni ya simu ya nokia kama nilivyoiainisha hapo juu kwani nimetokea kupokea msg kwa mobile namba...
0 Reactions
2 Replies
890 Views
Natafuta unga mzuri wa muhogo .. Ambaye anao naomba tuwasiliane .. Unga uwe mzuri..0714 925 525
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom