Kwa anayeuza samsung galaxy s3 inahitajika haraka sana, iwe kwenye condition nzuri na accessories zake if possible. Bajeti yangu ni 560k. Kama unauza tuwasiliane kupitia pm, au 0717301520 au whatsapp
Kama hii, huku niliko tunaitoa Bujumbura lakini of recently mafundi wachomeleaji wa huku wameanza tengeneza sasa sioni kama inalipa kusafirisha kutoka huku wakati materials (iron bars, iron plates...
Nina dell xps l501x
core i5, harddisk 500gb na ram 4gb.
Bei 650000.
samsung model np300e5a.
core i5, harddisk 720 na ram 4gb
Bei 700000.
Sio mpya ila zote zina hali nzuri na ukiziangalia...
niko na laptop HP Compaq cq 63, HD 160gb, ram 2gb iko kwenye good look I guess imecrash motherboard coz haitaki kuamka nataka kuiuza kama screpa mnunuzi ajitokeze
kwa wale wenye biashara za kudumu na kuaminika kama mm hii ndo sehemu nyingine ya kufanya matangazo yetu
www.inauzwa.com
sio lazima uwe na bussinness unaweza sign up ili ku access kuuliza maswali...
Naombeni kujuzwa ushuru wa magari haya yote ya 2004 .ni magari nayoyapenda sana.
Toyota caldina
Nissan primera wagon
Toyota avensis wagon
Mazda premacy
Nissan liberty
Subaru legacy touring wagon.
wakubwa nauza iphone 4s 64gb tsh 550,000 mpya.anaehitaji please wasiliana na mimi pm....please jiandae kabla ya kuniomba contact,simu ni mpya iko boxed na accessories zake zote......
Angalizo:nipo...
Hosting Plans: Duduhosting Our Works: Dudu Portfolio Our Services: Dudu Services
Katika dunia ya leo kumpata mtengenezaji wa Website si tatizo, ila kumpata mtengenezaji wa website...
Kwa wale wenye Guest house,Mahotel,Kambi na wanaohitaji kusambaziwa channel tuwasiliane kwa PM ni channel zozote uzitakazo wewe ziwe FTA au za kulipia. Bei ni nafuu sana.
Aksanteni sana pia...
Wana jamvi habari za majukumu,
Nina ofisi ipo sinza mugabe, ina vyumba viwili, na jengo zima lina ulinzi wa security guards. Ofsi nalipia 300,000 na ulinzi nachangia 180,000 Jumla ni 480,000. Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.