Habari wakuu,
Nimeamua kuuza shamba langu,
Details:
Heka 30
Sehemu,wami dakawa,luindo
Mazingira;lipo pembeni ya mto wami
Linafaa kwa kilimo cha mpunga kwa masika,na mboga mboga kwa...
shamba lenye mazao miembe michungwa mininga kama heka 2 mikoroshn na mazan mengi pamoja na kisima cha maji cha kuchimbwa lipo umbali wa kilometa 2 toka barabara ya morogoro linauzwa Tsh...
Nduguzangu nina uzoefu wa kuchapisha Tshirt kwa mashine,very nice quality & ya kudumu bei yake sio ya kutisha ila roho yako itapenda.
Tembelea www.waladamintz.blogspot.com
tunasambaza mabanzi kutoka iringa,kwa wateja hapa dar wanaohitaji tunapokea oda
..ni PM
Updates:
mabanzi bado yapo,ni mti wa pines,ft 12,tunapokea oda,mzigo unaletewa mpaka mlangoni!bei ya...
Ndugu,
Video camera ipo safi kabisa inauzwa. Price 320,000 tzs
Includes; 4 GB memo card, charger, av cable na usb cable, battery pack
Pls serious buyers dial 0715490570.
Ardhi kuanzia heka moja mpaka heka 250 bei ni kulingana na eneo, maeneo yote yanafikika kirahisi kwa gari, bei kuanzia milioni 2 mpaka milioni 3, kwa mawadiliano piga 0717000990/ 0764434673/...
Ina vyumba vya kulala vitatu,kimoja ni master bedroom,jiko,sitting room,stoo na dining.pia imezungushiwa ukuta.ipo karibu/nyuma ya sokoni,ina hati miliki
bei; tshs millioni 90
Dalali anaruhusiwa
Hya tena kwa wale wanaotaka kununuwa Mabasi ya abiria toka Germany MERCEDES BENZ LUXURY BUS Model 404 inabeba abiria 52 Wanaokaa kwenye Viti ipo kwenye condition nzuri na
kuna choo ndani na ya...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hii link www.bongogadgets .com sijajua kweli unaweza pata kwa wakati au ndio janja saidieni na wengine wanufaike
Wakuu kuna raia mmoja wa kigeni anatafuta msichana na mvulana wa kumfanyia kazi zake za nyumbani kwa muda wote atakaokuwa hapa nchini(miezi mitatu) kabla ya kurudi nchini kwake ujerumani...
Jiachie na spy pen yenye uwezo kurecord video na kupiga picha na sauti kwa Tsh 150,0000/=
uwezo wake ni 4GB
unaweza tumia kama flash disk pia
0655948888
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.