Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Waheshimiwa naombeni busara zenu na msaada kwani najua hapa ni kitovu cha mambo yote. Kuna mshkaji wangu ameniletea Blackberry kutoka USA iliyokuwa katika contract ya T-Mobile aina ya Blackberry...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
familia ya Mmaka inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa bi Mwanahawa Ally Mmaka habari ziwafikie ndugu na jamaa na marafiki wa familia hii.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau mim kwa muda mrefu sasa nimegundua sis watanzania wengi tunapenda BEI RAHISI badala ya UBORA wa kitu husika,JE NI UJINGA ama NI HALI NGUMU YA MAISHA?
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Sumsung S4 inaitajitaka haraka iwezekanavyo kwa resonable price mwenye nayo ani PM.
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Ninauza complete computer. Specification ni kama hizi; Hp desktop RAM 1GB HARA DISK 160GB PROCESSOR DUAL CORE Sio mpya, bei ni maelewano. Niko Arusha kwa wanaohitaji tuwasiliane.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hi all,mambo zenu vipi.. nauza this quad bike here...ni nzuri na haijanisumbua hata kidogo.. Make : Zongshenengine size : 125cc fuel efficient kabisa na speed ni nzuri kabisa....hata wadada...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau samahanini, naomba mnisaidie bei ya samsung galaxy note II brand new ni tsh ngapi?? Naombeni kujua please!!! Picha yake hiyo hapo chini..."
0 Reactions
1 Replies
897 Views
TOROT CARDS are part of western traditions, very popular in Europe, north and south America, but what are they really about?. If this subject interest you, just PM.How Tarot Cards Can Help You...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi All, mambo zenu...mi natafuta wapi nitaweza printiwa jezi ya real madrid yenye jina langu nyuma...nimeona kuna watu wanazo ila sijui where to get this...i like to have one..and how much...ni PM...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nauza bb 9700 kwa shng 280,000 tu ni used ina charger tu iko katika hali nzuri anayehitaji tuwasiliane kwa no 0784053983
0 Reactions
2 Replies
975 Views
blackberry 8520 inauzwa kwa sh.120,000 iko kwa good condition wahi mapema
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kwa mtu aliyeagiza Toyota Raum ya mwaka 2004 ushuru unaweza kuwa kiasi gani? ningependa ushuhuda wa mtu aliyelipa ushuru hivi karibuni. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Kwa wenzangu wanaopenda kutumia smart phones za bei mbaya kwa kununua bei za kitonga, naomba niwafahamishe kuwa kuna simu zilizozagaa mjini hapa especially Samsung S3,S3 mini na S4. Ambazo ni...
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Wandugu wajasiriamali wenzangu,baada ya kuvuna mazao yangu,napenda uwasilisha kwenu sasa mchele super magugu unapatikana kwa wingi,mimi mwenyewe nnao hauna dalali. Mahali mzigo ulipo nimagugu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
za asubuhi wana JF..nina madini aina ya green mantolin kwa mwenye uhitaji aniPM tufanye biashara.asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunauza GPS kwa bei nafuu sana:- (1)mabegi ya watoto yenye GPS $200 (2)GPS za piki piki $150 (3)GPS za magari $200 mawasiliano zaid +255655948888 email.oxfordcomputertech@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa ushuru wa noah old model ya mwaka 1999 na1998. Na pia naomba kujua lowest price ya noah old model katika yard hapa dsm.asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wanaohitaji kutengenezewa website,blogs,vipeperushi,na otherstationary stuffs. contact us maria@dwt.co.tz au 0715878575 . Website hosting and Domain registration kwa 100,000/= TU. Mfano wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ipo katika hali nzuri bei 380000 pungufu unaongea pamoja na pad zake zote mbili,anayehtaji anichek kwa number 0714061310,
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Back
Top Bottom