Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
habari wana JF kuna hoteli ambayo ipo katika hali nzuri sana ipo kariakoo ina gorofa 8 na standby generator. bei ni dola million 3.5
0 Reactions
29 Replies
5K Views
kuna frem tatu zinauzwa zipo tegeta kibaoni, frem izo ni kubwa zipo sehemu yenye mzunguko wa biashara bei kwa kila fremu ni ml 8 kwa maelezo zaidi waweza kunipata kwa simu namba 0714 182 640
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Jamani hbr zenu pls natafuta kontena la kufanyia biashara mwenye nalo au aneejua naweza kupataje aniibox pls
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Salute, Ziko mbili moja ni 5 speed na ingine ni 4 speed, bei 8m Ndo zimetoka bandarini juzi. Sms inakubalika 0715/784/764 800989
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF Naomba msaada kwa yeyote mwenye soft copy ya financial regulations zilizotolewa kuelezea The Finance Public Act 2001, anisaidie. Natanguliza shukurani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ewe mteja,Htc legend mpyaaaaa inauzwa,bei ni 220,000/= kwa maelezo zaidi na specifications igoogle uone mzikii,kwa walio serious na biashara tuwasiliane 0719579733,0713838799,0769579733. Meseji...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Salaam, wakuu. Ninahitaji fundi wa printer (copier machine), aina ya konica minolta bizhub,na xerox work force nipo dar es salaam, nicheki kwa 0762 490 080. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini ndugu zanguni, Nina laptop aina ya acer aspire 5532 ambayo niliinunua mwaka jana, lakini haijatumika sana.. yaani namaanisha bado ipo freshi sana, ina 64 processor TF-20(1.6GHZ). ATI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mashamba yanauzwa Maeneo ya Mkoa wa pwani(Bigwa wilaya ya Mkuranga) unakatiwa kulingana na pesa yako au mahitaji yako mashamba yapo katika maeneo mazuri na ardhi yenye rutuba inayo stawi mazao...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
anasema bei zake ni milioni moja kwa kila moja,ni mpya kama unahitaji we PM Specification 1.CPU platform: Intel Core / Core i5 2.Screen size: 14-inch 3.Memory capacity: 1G 4.Hard disk capacity...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jf nina mdogo wangu wa kiume by profession yeye ni Procurement and supply Management na qualification aliyo nayo ni Certified Procurement and Supplies Professional...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu brothers and sisters Kama kuna mdau aliye interested na hii kitu tutafutane pm,, Nina appartment maeneo ya ubungo Xternal karibu na TFDA na Mkapa EPZA natafuta mtu wa...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
nauza HTC legend bdo mpyaaaaa with haedphones na charger yake my number is 0656304361
0 Reactions
6 Replies
913 Views
KWA WALE WANAOHITAJI MAENEO YA UWEKEZAJI WA HOTELI HUSASANI ZA KITALI NA NYINGINEZO . YAKOMAENEO YA BEACH KWA AJILI YA UJENZI WA HOTEL YANAUZWA. KILWA MASOKO NI MOJA YA MIJI YA KUSINI AMBAYO KWA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii napenda kuwapa hii taarifa kwa mtu ambaye atapendezwa nayo, nauuza kamera aina ya SONY cyber shot ni original kutoka marekani nzuri na mpya, na zinauzwa kwa bei nzuri kwa yeyote atakaye...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
VIWANJA SIZE MITA 32*25 BEI MILION 16. viko 2km kutoka morogoro road, kandokando mwa barabara itokayo kimara Temboni kwenda Tangibovu mbezi beach. viwanja viko tambarare nzuri, umeme na maji ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau nauza toyota harrier 2.4 litres ina odometer ya km 85000 bei ni maelewano. Ina alloy rims na low profile tyres. Iko kwenye excellent condition. If you are interested nitafute kupitia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF msaada pls natokea kanda ya ziwa nimekuja Dar kikazi zaidi Natafuta nyumba ya kupanga Maeneo ya Makongo na Survey nitafutrahi sana Budget : Tzs 300,000-400,000 P.M Muonekano: Iwe na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naitaj simu yenye uwezo wa kuunda wifi then ntakupa blacbery curve,karibun wadau
0 Reactions
6 Replies
953 Views
Back
Top Bottom