Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nipo dar. Bado mpya tu. Sh 300,000. Cash. Iko na kila kitu na imewekewa na screen protector. It is both button pamoja na touch screen. Ni "PM"
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Kama kichwa cha habari kilivyoainisha inatakiwa nyumba ya kisasa yenye hati ..nasisitiza tena 'Hati'... iliyo sehemu inayofikika bila usumbufu katika majira yote ya mwaka na pia huduma muhimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
+255 756 412 337 6.1MP Comes with free 256MB Memory card
0 Reactions
2 Replies
801 Views
Kwa mahitaji yako ya vifaa vya kielektroniki halisi vya mtumba toka uk kama computers (desktops na laptops) simu za mkononi, printers, tvs,wasiliana nasi. Pia kwa mahitaji ya software ya aina...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
wanaJF kama kuna mtu anaweza kuniulizia wapi kuna patikana vifaa vya magic kama vile magic box nk
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Ni Cresta GX100,vvti,pearl white,1999 model. ipo kwenye good condition sana. iko zanzibar ila kama mnunuzi atapatikana dar nitamletea kwa gharama zangu. contact na mimi through 0713 806 766 kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Photocopy mashine canon NP1215, inauzwa laki nne tu ( 400,000) , mashine ipo dar es salaam . inahitaji service kidogo tu . kwa anayehitaji anitafute 0714890018
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Iliingia tar 02/08/2012 inausajili wa CBZ SH M 6.7 ina km 124,000 compreensive bima na road lisence vinaisha mwezi wa 8,. Nilikuwa natembelea mm tu tafadhali haijachakachuliwa km hata ukitaka doc...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Habari wana JF. Naomba kama kuna mtu anauza NOAHA iliyo katika hali nzuri wasiliane name. Asante
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu! kuna Clinic mpya ya magonjwa ya moyo imefunguliwa pale Ocean road, sea view, karibu na Protea Hotel (court yard), si mbali kutoka Serenda bridge. inaitwa Doctor's Plaza heart...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chumba kiwe na tiles na gypsum,Maji na umeme muhimu.Bajeti yangu kuanzia 100K-150K,kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf kwa yeyote mwenye tablets apple anauza naomba aweke specification na bei yake. Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Natafuta noah inayouzwa si zaidi ya sh 4m aliye nayo anipigie 0684247989 au 0769688646
0 Reactions
7 Replies
3K Views
The Mansion is located at Jangwani Beach ( next to Mbezi Beach) approx. 200 meters off the Whit Sands Hotel Road. Upstairs, there is a main bedroom, 2 other bedrooms, family/TV room and study...
0 Reactions
4 Replies
873 Views
Habari wanajamii, Kama kuna mtu yoyote anahitaji ushauri kuhusu processing ya madini ya Dhahabu na Shaba tu,anaweza kuwasiliana na mimi mana kuna kampuni ya vijana yenye uzoefu na mambo ya madini...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Habari wakuu ! Nahitaji kununua chaja ya samsung tablet p1000. Naomba kujua wapi nitapata kirahisi kwa Dodoma au Morogoro. Makazi yangu ni Dodoma.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi guys! Wanajamii ninauza hizi pair mbili za viatu laki na nusu kila pair maelewano kidogo yapo. Viatu viko dar kwa any serious buyer tafadhani ni PM asap Viatu vya brown ni size 9U.S na black...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama unaitaji gari basi wasiliana nami utataja aina then kama lipo we do the bussinesa in cheap price welcome
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa wale wapenda soka, hasa mechi za Ligi Kuu ya Uingereza Live tuwasiliane. HD AD Sports package ndio kimbilio la wajanja...Ukinunua King'amuzi cha AD Sports unapata channel zenye kiwango cha...
1 Reactions
54 Replies
13K Views
Nauza Samsung i897 Bei 300000 maelewano yapo just pm me!! Phone specifications 512mb of Ram 1ghz CPU PowerVr 540 GPU http://m.gsmarena.com/samsung_i897_captivate-3408.php for more information...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom