Nimesikia kuwa kuna watu wanatengeneza mishumaa ambayo ina uwezo wa kufukuza mbu. Naomba mwenye taarifa zozote kuhusiana na suala hilo anijuze. Ningependa kuinunua ili nijaribu, je, inapatikana wapi?
It is new in its box, screen protector, leather case and two years samsung warant. price is only tsh 780,000/= or exchange with brand new hp or dell laptop with the following...
Wapendwa natakuagiza gari moja kati ya hayo please naombeni ushauri juu ya tofauti zao coz mi nashindwa kutofautisha naona ziko sawa zote kuanzia cc hadi body structure Yao na vipi kuhusu ushuru...
Wakuu, nahitaji fremu ya biashara maeneo ya Tegeta au njia panda ya Wazo.
Si lazima chumba kiwe kikubwa sana lakini pia kisiwe kidogo sana. Sehemu isiwe imejificha.
Airtel Tanzania and Nokia yesterday jointly launched the Nokia Lumia 620 smartphone that will enable customers of the mobile network provider across the country to access state-of-the-art services...
Habari zenu Wakuu,
Mashudu ya alizeti yanapatikana kwa bei nafuu.
Naombeni muhitaji au kama utakuwa unafahamu
jamaa karibu yako wanahitaji unaweza kuwafahamisha!
nawasilisha.
Nahitaji Samsung galaxy s3, iwe rangi ya blue au nyeusi, na iwe kwenye condition nzuri bila scratches na iwe na accessory zake kama charger na usb cable. Kama unayo nichek 0717301520, au weka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.