Number 1 authorize wholesaler / reseller so our price can not be the same as the retail price.Most retailers do get there order from us and resell, But we get all our products directly from there...
ina vyumba 3, sitting na dinning room, jiko. Ina fency ya ukuta na vyumba 2 vya walinzi au store, gate kubwa na car parking, umeme na maji. Ipo barabarani. Daladala zinafika. Bei na mawasiliano ni pm.
eneo lenye ukubwa wa square metre 6800 linakodishwa, eneo liko metre 400 toka mbezi high school pembezoni mwa barabara ya mpigi magohe, kuna nyumba kubwa inayofaa kwa ofisi au makazi, linafaa kwa...
Napangisha chumba maeneo ya mwenge near TRA opzt magorofa ya jeshi kodi 80,000 kwa mwezi including maji na umeme, ina maana maji na umeme hulipii, HAKUNA DALALI, nyumba ina vyumba vinne vyoo...
Mbali na kuongeza gharama maradufu za kutumia Internet kwa wanaotumia modem, ni wiki moja sasa mtandao huu umeelemewa kabisa, hata kufungua email inashindikana! yaani ni zaidi ya slow...
Nimepita ubungo asubuhi hii,pale wanapouza magazeti ,kuna vijana wanauza DVD za vituko Bungeni ,DVD hizo zimerekodiwa kutoka TBC wakati wa mijadala ya bunge.ajabu ni kuwa kwa sasa film za wasanii...
VIWANJA VIWILI VYENYE OFFER VINAPATIKANA MBEZI MASITE, SIO MBALI KUTOKA BOKO. KIWANJA CHA KWANZA NI Sqm 1273 Bei ni million 52. KIWANJA CHA PILE NI Sqm 1200 Bei ni million 50. CONTACTS...
Hey there!
Nahitaji kununua suzuki escudo, iwe kwenye hali nzuri, lakini bei nzuri pia
Mwenye nayo keep in touch with me through
0767659145 au 0787659145
alphonce@alphonce.net
NAHITAJI LAPTOP DELL/TOSHIBA CORE i7
Nahitaji laptop iwe Dell au Toshiba
Core i7 processor
RAM min 4 gb
Naweza pata wapi kwa Dar?
Kama unauza nipe no ya simu.
Asanteni.
Ngugu wana jf nataka kufuga mbwa mkali kama wa polisi nisaidieni mawazo kwa anayejua, nitampata wapi, vyakula madawa pamoja na maelezo mengine yatakayo nisaidia. Natanguliza shukrani.
KWA WATUMIAJI WA FACEBOOK Like page ya TANZANIA NEWS AND SPORTS na upate breaking news za kitaifa na michezo. page hii inahitaji like za watanzania ili iwe promoted. like...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.