Habari Zenu wakuu,
Nina showcase fridge used yale kama yanayotumika kwenye ma supermarket ku display nyama samaki na vitu kama hivo. Pia nina freezer kubwa used ambalo lina mlango wa kioo display...
Habari wana jf
Kwa wale wenye matatizo ya uzazi (kutopata mtoto) kama ulishawahi kupata mtoto mmoja na inashindikana kupata wa pili pia kwa wale ambao wanashindwa kupata ujauzito kama matokeo ya...
phone; Samsung galaxy s2
bei; 500,000
contact; 0712198128
Habari,
Nauza simu mpya,galaxy s2 imetumika just one week. Nauza kwa ajili ya shida tu.. Nahitaji 500,000/=.
Call me at 0712198128
Salaam wakuu,
Nina wazo la kuanzisha biashara ya spare za magari na used tires kutoka japani. Mwenye uzoefu na biashara hii, au mtu yeyote mwenye idea naomba anipe mwanga ni regulations zipi...
Kiwanja kinauzwa Kipo eneo la Itega sqm 2,400 ni 5KM kutoka Dodoma mjini bei 20,000,000 maongezi yapo mawasiliano kwa namba hizi 0754297298 ua 0715297298.
Sent from my BlackBerry 9780 using...
Nipo tanga kwa sasa ila next week nina mpango wa kwenda dar es salaam. Nina hitaji kama kuna mtu anaweza kunitengenezea micro sim card kwa bei rahisi. Au mniagizie sehemu wanayo tengeneza. Asanteni
SOLD***SOLD***SOLD***SOLD
Nauza Microtek Pure sinewave Inverter
Specification:
2KVA (2000 Watts)
36 Volts
27 Kg
Genuine Brand and Technology. ENJOY UNINTERRUPTED POWER ALL THE WAY.
Hii Inverter...
Kiwanja hakijapimwa ,ila ni more attractive kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba ya biashara. au au car wash etc. umeme uko within area kwan kuna makazi jiran, interested buyer ni PM
HELLO JF MEMBERS,
AGAIN, NINA ONA VEMA KUWASHIRIKISHA WADAU KATIKA SIMPLE BLOG YANGU AMBAYO KIMSINGI NAJARIBU KUHIGHLIGHT MAMBO MHIMU KATIKA MASUALA YA PROJECT AND DEVELOPMENT WRITING AND...
Wasalaam wanaJF!!
Smartphone BB Bold 9780 inauzwa!! Haina tatizo lolote ila ni used,screen yake haina mikwaruzo kwan ina screen guard tangu upya wake!!! Kama uko interested tuwasiliane @0767...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.