Shamba la ukubwa wa Ekari tatu(3) nauza kila Ekari kwa Shilingi Milioni moja na Nusu(1,500,000/=). Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya MorogoroRoad eneo la Visiga Seminary Kituo...
Nina biashara ya maduka mawili ya rejareja Mapipa karibu na Morogoro rd, nimedumu kwenye biashara kwa zaidi ya miaka 5 sasa ila mwaka huu biashara imeyumba kimtaji. Nahitaji financial partner...
Nauza wallets za kike za ngozi kwa jumla au rejareja ,za ukweli kutoka uk,Bei ya jumla 20000 kwa moja na rejareja 25000 kwa moja.napatikana ubungo.wallets ziko za rangi tofauti na design tofauti...
nahitaji laptop aina ya toshiba au hp yenye specification zifuatazo processor 2 dual core hdd 320 ram 2gb dvd writable wifi bluetooth nk bajeti lk 550,000/=
Nokia 2700classic ni balaa internet yake iko fasta inampaka opera min 7 ya ukwely inaingia mitandao yote chaji inakaa siku 4 kama haujaichezea,jamani simu natumia mwenyewe sema ni shida...
Vodafone ZTE Internet Pad. (ni zile device kama keyboard ambayo unaconnect na TV na kuitumia kama compyuta) Ipo Mpya inauzwa 100,000/= Tu.
Nipo dar, ila hata kwa wa mkoani naweza kukutumia huko...
wadau
simu hiyo nmeitumia miezi 3...ni nzuri ina watsup na apps nyingi..ni
touch screen na ina QWERTY buttons pia..internet speed saafi
meshindwa kuatach pics zake wakuu..but kwa aliye...
natafuta fincial/developers,kwani nina maeneo bunju B na nataka niyaendeleze,hati ipo tayari na eneo ni kubwa kabisa kiasi cha heka 8 ivi. for more information contact garchedwin@gmail.com
Wamasai wako hatarini kufukuzwa kwenye maeneo yao ili kuwapatia wawindaji wageni. Hii hali haikubaliki. Tuungane na jumuia ya kimataifa kumuandikia Kikwete ujumbe kwamba hatukubaliani na jambo...
salama jamani,
nauza blackberry curve 9300 kwa shilingi 150,000/=
ipo kwenye hali ya kuridhisha,
kama unahitaji kufanya biashara nami
0714 021 078
tafadhali
Sihitaji udalali...kama wewe ni dalali ukubali pesa ya maelewano na wala si kodi ya mwezi. Usawa mgumu...!!! Upatikanaji wa maji wa kutoshabitakuwa kitu nzuri pia....
Ata maeneonya mwengent wont...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.