Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
used for 4 months ipo katika hali nzuri sana,haina mkwaruzo wowote,pia haina shida yoyote color:black camera:8MP memory:internal 8gb,microsd upto 32gb,ram 256mb processor:680mhz kitu touch...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
ni simu ya android mpya kabisa na box lake kwa Tsh 200,000tu piga namba 0719147503 kwa mawasiliano. 8
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nipo dar. Bado mpya tu. Sh 300,000. Cash. Iko na kila kitu na imewekewa na screen protector. It is both button pamoja na touch screen.
0 Reactions
2 Replies
724 Views
wadau kwa mwenye injini ya bajaj platina cc 125 au hata mwenye kufaham duka zinapouzwa naomba anisaidie kunielekeza nina shida na hiyo kitu kwa kununua.
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Toyota Raum EXZ100, Station Wagon, Silver, maufactured in 2007, registered in Tz in March 2009, T...AZF, cc 1490, petrol, automatic, a/c, milango 5, inatembea. inauzwa, bei ni TShs. 8,000,000/=.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
samsung s3 ipo ktk hali nzuri nimetoka nayo scotland nilitumia for 2 month nina box lake.charger.headset.user manual etc..nauza kwa laki 6na nusu .ni pm kwa maelezo zaidi naishi makongo juu
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Ipo galaxy S2 mpya with all accesories, Price; 500,000/= Contact; 0712198128.
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Simu ni HTC One S imetoka April, 2012, acha kutumia simu za 2009. Some specs; Processor; DUAL Core 1.5 Ghz RAM; 1gb Internal; 16gb Camera; 8MP OS; ANDROID 4.0 (ICE CREAM SANDWITCH)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wajameni nina 4m ntapata wapi gari nzuri?
0 Reactions
4 Replies
867 Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni mkazi wa dar...Nilikua natafuta wauzaji wa jumla wa mifuko (plastic bags) ya aina zote. Nilikua nataka kununua mzigo mkubwa kwa ajili ya matumizi yangu binafsi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu iko poa sana, imetumika 6 months only, haina scratches. Nichek pm or 0717301520
0 Reactions
0 Replies
952 Views
ipo Arusha,veRy clean,nyeupe,engine ya vvti,number B...all duties paid..tsh-8,000,000/- pm me please...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Husika na kichwa cha habar hapo juu wadau shida yangu hizo line mwenye kuziuza anaweza kunisaidia natanguliza shukran zangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Laminator inauzwa bei poa sh 110,000/= PM
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Hello there, I am looking for long term car rent in Dar Es Salaam. Preferred SUV 4x4 type car (Nissan, Toyota) in good condition. R.
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Afisa utamaduni vijana na michezo wa Wilayani Mbulu Bi Grace Steven Quitine amewataka vijana Wilayani hapa kutilia mkazo suala la michezo, ikiwa ni pamoja na kuunda klabu za kudumu zitakazo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naitaji fundi anaejua mambo ya visima virefu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mira lodge &bar ni pub mpya yenye manzari mazuri parking ya kutosha and all rooms are self containers with dstv inn and we offer for low price only 10000 thousands per day all type of food and...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Habari wanajamii, Kama kuna mtu yoyote anahitaji ushauri kuhusu processing ya madini ya Dhahabu na Shaba tu,anaweza kuwasiliana na mimi mana kuna kampuni ya vijana yenye uzoefu na mambo ya madini...
0 Reactions
4 Replies
991 Views
watu wote wanaitaji magari yenye ubora kwa bei nafuu tutembelee kwenye website yetu kupitia www.jordanexpress.co.tz pia unaweza ku-order ya gari lako kwa kutanguliaza hella 20% ya bei ya gari...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom