Kiwanja
hiki kinapatikana nyuma ya jengo jipya la BOT mtaa wa idara ya maji
barabra ya kwenda UDOM,BEI MILIONI 200,KWA MAWASILIANO tafadhali ni
PM,tazama site PLANN katika attachment ni...
Habari wa JF
Jamani ninaitaji original ipod ya 6 au 8 GB used au mpya kama unayo nicheki kwenye 0716-369299
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nyumba mpya kabisa inapangishwa Mbezi mwisho ina jumla ya vyumba vinne ambacho kimoja ni master. Ina sitting room na dinning room kubwa kabisa na garage pia na iko ndani ya fence. Kwa maelezo...
Wadau, nitapata wapi mbegu za viazi vitamu vya aina mbalimbali?
(Nataka vile vya njano, vya pink, vyeupe n.k)
Niko Natumbo.
Sehemu yoyote kulipo na mbegu nitafanya utaratibu wa kuzipata
Nahitaji...
nyumba ya kisasa na nikubwa sana . 1. maji yapo tena ni free coz kisima kipo apo apo
2. umeme upo tari
3. parking magari madogo 3-4 ipo
4. inavumba zaidi ya saba
5. ina fensi ya ukuta na gati...
Eneo zurri kwa ajili ya yard ya magari linakodishwa (linaweza kuuzwa kwa makubalino) yanaweza kuingia magari madogo 60/70. Liko barabara kuu iendayo Gongo la mboto. piga 0786 220014.
Samahanini wajumbe ila nna kiwanja changu na nlikua nataka nikifanye kiwe flat mana kipo katika slope area na naweza kupata msaada wa contact za watu wanaokodisha hayo magari
wanajamii mambo kuna mashamba ya ekta moja matatu na vipande vya viwanja kama kumi vya ukubwa wa hatua 40x25 Vinauzwa kwa bei poa tu vipo maeneo ya Kibaha kwa mathias bei kwa mashamba ni kuanzia...
Nina kiwanja changu cha ukubwa huu 90 kwa 75, jumapili nataka nianze kuweka foundation kama yupo mtu wa kuweza kunipatia ramani ya haraka anipatie na aniwekee sample zake kwenye email hii...
The HP EliteBook p series 2730p notebook has been customized by the seller, so read the detailed listing and feel free to reach out to the seller to ask questions about specific adjustments...
kiwanja kinauzwa mabwepande kina ukubwa wa mita 40 kwa 40 kwa kiasi cha sh mil. 4 kiwanja kinatazamana na viwanja vya mradi kwa mhitaji piga 0712868672
Wadau wenye uzoefu na magari.naomba ushauri wa aina gani ya gari(automatic) nayoweza kununua baada ya kuuza niliyonayo.isizidi 1500cc. Nategemea kuwa na tsh 7milions baada ya kuuza na kuongezea...
Kwa anayependa tuwasiliane...
Toyota Carina (1990), My road, white, right hand drive, automatic, 4 doors, power windows, engine 1.6cc, fuel Petrol, New tyres, valid registrations etc...
Ni kampuni inayotoa huduma ya ulinzi na usafi maofisini, majumbani, kwenye kumbi za starehe,bank, mashuleni, hospitalini, makanisani n.k kwa mkataba wa masaa, siku, wiki, mwezi, mwaka na...
Wanajf wote mnakaribishwa kwenye semina ya neno la Mungu kutoka kwa Mwalimu Christopher Mwakasege pale diamond jubilee siku ya kesho mchana(jumapili)
kiingilio ni bure!
Mnakaribishwa
mkumbushe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.