Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Toyota landcruiser Prado, kzj950004741. maroon colour, in dar es salaam, 1998 model. Tel 0784 859570/0655859570
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimepungukiwa hela ya karo ya shule. Nauza laptop yangu HARAKA SANA! Toshiba:- windows 7 Installed & office 2007 2.8 Duo core processor 2 GB ram 100GB Hard Drive Price:- 500,000/= Negotiable
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima kwenu wote, Naamini mnaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa taifa Kuna kiwanja kinauzwa, Kipo GOBA ukubwa wake ni mita 25 kwa 30. Bei inaanzia mil. 15/=. Kwa mawasiliano zaidi piga...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
habari wadau nauza gari yangu aina ya vitz model 2004 rangi maroon kwa anaehitaji 0713229835
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ninauza gari aina ya suzuki swift ya 2001 yenye details zifuatazo: 1. Mileage 178000 KM 2. Reg number BJU 3. Iliingia Tz mwaka 2010 4. Iko katika hali nzuri sana ( inatembea ) 5. Rangi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeharibikiwa na external hard disk aina ya seagate! Naomba kama unajua walipo mafundi unijulishe mara hii tafadhali. Mimi nipo dar.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Are you looking for an eye-catching Cv and job cover letters? 2. Are you tired of beingupset with job interviews? 3. Have you beenlooking for jobs without being called for an Interview...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu mwana JF nauza Rav4 L. Wasifu wake ni kama ifuatavyo: 1. Reg #: BZH 2. Model: Rav4 L 1997 Manual transmission 2WD 3. Odometer ~ 55,000KM 4. Gari ilipo: DSM Bei ni 15M lakini maelewano yapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nsagali Co Ltd. is a Tanzanian registered company and social enterprise. Generally Nsagali Co Ltd is a both an Authorized super dealer of Vodacom Tanzania Limited and Airtel Tanzania Limited. We...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
wadau nisaidieni jinsi ya kuunga simu yangu na internet ya tigo Motorola DROID pro st 610
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Kiwanja kinauzwa kia eka mbili kushoto mwa barabara shilingi 120 m kulia mwa barabara eka mbili shilinngi m 60
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Heshima kwenu wote.. Husika na kichwa cha habari hapo juu,, nyumba ya familia inapangishwa kuanzia february 1 2013.. Nyumba ina vyumba vinne vya kulala kimoja master bedrum,, Ina umeme (...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watendaji' jana post yetu ya opportunity za biashara Botswana inakwenda vizuri naomba kujua kama kuna mtu anahitaji matairi yaliyotumika kutoka Botswana size zote Details zangu 0267 73553246...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
NALIA, NALIA NALIA,NALILIA. Leo naanza safari ndefu, mwaka jana nilipata habari za bintialiyeacha shule baada ya kushindwa kujilipia karo. alifaulu shule ya msingi,wazazi hawajiwezi, akawa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza Hp i3, imetumika miezi miatau bado iko katika hali nzuri. Ina ram 2GB, hard disk 320, processor 2.5. picha nimeambatanisha. price Tshs 570,000 call 0717354243
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nauza ps2 controller pad kwa tsh.30000/= each kwa anaeitaka anicontact through 0718164448
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Laptop bei 500,000 mwisho 450,000, specification nakupa ukihitaji!!
0 Reactions
4 Replies
882 Views
nina samsung galaxy s3 mpya from uk ...ninaiuza bei chee pm au call 0753765533
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jamaa anatafuta mkopo wa 15,000,000 - 20,000,000. Ana viwanja vinne vilivyopo eneo moja (square), kila kiwanja kina 35mx35m Thamani ya kiwanja ni 5,000,000 - 7,000,000. Viwanja vina hati...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamiiiii Kiwanja (shamba) kina UREFU WA MITA SITINI(60M),UPANA WA MITA ISHIRINI NA SITA(26M) UPANDE MMOJA NA UPANDE MWINGINE MITA THELATHINI NA NANE(38M) KWA MAELEKEZO ZAIDI. PIGA SIMU...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom