LAPTOP computer inauzwa kwa bei ya kutupwa!!!!!!!!!!!
Ni hp ram 3, hard disk ya 235, proceser ya 2.00, rating yake ni 32 bits, bei 500,000, mwisho 450,000, na baada ya hapo bei ni maelewano,, no...
Nahitaji kiwanja chenye hati eneo lolote dsm kwa haraka ila ni lazima tukafanye search wizarani kwa register ilikujuwa kama ni halali no.0765616178 or 0787139327 nakihitaji kwa haraka sana
GEST KAUKUMBI NA BAR INAPANGISHWA.gest inapangishwa bei kwa mwezi mil 1nalaki 2 kodi anatakiwa yamwaka ipo temeke juu ya uwanja wa taifa matengenezo yote juu ya mwenye nyumba ofa mwezi mmoja bure...
Nimepigiwa simu jioni hii na jamaa yangu akiwa mgodini, amebahatika kupata kipande cha dhahabu. Shida yake kubwa ni kujua soko la dhahabu hapa Dar likoje? bei kwa gram moja ni shilingi ngapi?
I salute u Wanajf! leo nimeshangaa sana, nilienda barabara ya 15 jiji la Tanga kupata huduma ya unga wa mahindi.Nilivofika nikamkuta mama mmoja wa kitanga nikamuuliza debe moja la mahindi ni bei...
ofisi ipo temeke chang'ombe karibu na serengeti(mchicha)ina chumba 3,choo 2 na eneo kubwa nje la kutosha kuweka display mbalimbali.kwa mwenye kuhitaji anipigie au ani text ktk namba
0688288111 au...
nyumba ya kisasa na nikubwa sana .
1. maji yapo tena ni free coz kisima kipo apo apo
2. umeme upo tari
3. parking magari madogo 3-4 ipo
4. inavumba zaidi ya saba
5. ina fensi ya ukuta na gati...
Duka/Frame au Biashara inayoendelea iko mtaa wa biashara na wateja wa kutosha pia inavutia sana,,,,na ina kila kitu kisheria inauzwa na mwenyewe, mnunuzi analipa tu na kuanza kuuza saa hiyo hiyo...
I have the following designer perfumes for sale.
Calvin Klein Escape for Men 100mls - 150,000tshs
Calvin Klein Escape for Women 100mls - 130,000tshs
Calvin Klein Obsession for Men 125mls -...
Wakuu habari yenu nahitaji mwandishi wa proposals mzuri
Awe dar es salaam
Proposal yenyewe inahusu maswala ua utalii....
Ambaye angependa tufanye nae kazi anicheck kwa sms 0717277050
Hii ni Camcoder na inauwezo wa kupiga picha 5.0MP.Imetumika lakini ipo kama mpya na haina tatizo.Ni kazuri sana hasa kwa kina dada.Inarekodi full HD 1080p na inatoa picha nzui sana.Inauzwa pamoja...
Panasonic LUMIX DMC-TZ20/DMC-ZS10 14.1 MP Digital Camera - Black Nauza Camera ya Panasonic DMC-TZ20E ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri.Imetumika uingereza lakini imeshafika Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.