Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kimoja kipo Chang'ombe extention kina hati na kingine kipo Ntyuka nusu heka
0 Reactions
3 Replies
3K Views
KAc secondary school iliopo Arusha inatangaza nafasi za Walimu katika Michepuo ya Sayansi,Arts na BiasharaSifa za mwombaji Asiwe form six leaver. Maombi yatumwe kwa kutumia E-mail ya shule...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye habari za kina juu ya Tractor nzuri za kulimia anipe habari, kuanzia aina, upatikanaje wake na bei.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nyumba ya gorofa 1 inapangishwa: Eneo: Old bagamoyo road mbezi beach Dar es salaam, ipo barabarani. Vyumba: Ina vyumba vya kulala 5 juu na chini, seating room, kitchen and store. Ilivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu
Mwenye habari za kina juu ya Tractor nzuri za kulimia anipe habari, kuanzia aina, upatikanaje wake na bei.
0 Reactions
0 Replies
717 Views
I have good qualifications. Remarkable
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Laptop inauzwa laki tatu Hp ni kali sana ni laki 3 0764435828 nipo dsm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza hiyo laptop kwa tsh 450,000 iko katika hali nzuri ila battery ndo ishachoka kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0655444440
0 Reactions
0 Replies
983 Views
SAMSUNG GALAXY S1 Iwe kwenye hali nzuri, budget yangu ni TZS 200,000/= for any interested seller, send a PM(sms).
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Bar gest ukumbi vinapangishwa vyumba 11 selfcontena 6 vyoo vyanje 2 mabafu 2 ukumbimbi nimdogo unawezo wakuchukukua watu 76 mpaka 85 naunafaha kwamikutano Sehemu uwanja wataifa juu mtaa wa boko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza simu aina ya samsung galaxy note, N7000, black colour, 16 gb internal memory, na 8 megapixel camera. Imetumika miezi 4 tu, iko kwenye very good condition, inakuja na charger, usb cable...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MGANGA WA TIBA ZA ASILI TOKA MALAWI AnatibU magonjwa sugu nayale ya kushtukiza. Kuna dawa ya PRESHA,NGIRI,PUMU na KUONGEZA CD4. Kuna dawa ya kumrudisha mpenzi, MUME/MKE na kumfunga asitoke nje...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
nokia e63 inauzwa 160 tu..ina apps zakutosha na ni symbian...tuwasiliane 0767879784/0657197186
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Milango mitatu ubungo maziwa kwa laki moja tuu kwa kila mwezi (wafanyabiashara) unaweza kulipia kwa miezi kumi au mwaka mzima karibu uone au pigaa simu namba 0653757557 au 0764435828 karibun...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NI SONY VAIO VPCEB15FM INTEL CORE i3, INA HDD YA 500, RAM 4GB, GRAPHIC CARD INTEL HD YENYE 1700mb, catche memory 5mb. shs 650,000. kwa maelezo na manunuzi piga 0717354243
0 Reactions
0 Replies
806 Views
karibuni sana kwa huduma bora za mapambo, chakula bora na mc mahiri .kwa mawasiliano zaidi piga 0712419419
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza, kijitonyama ikibdi mbezi beach, Sifa ya chumba: kiwe kizuri na rangi nzuri. kuwe na fence kwani nina pikipk hivyo kuwe na usalama wa kuilaza kma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear all, Natafuta p.o.s kama kuna mtu anauza mpya ambayo ni complete system. Ani pm. Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
0 Reactions
5 Replies
2K Views
VIWANJA VINAUZWA SIZE KWA MITA 20*20 MILLION 3, 22*25 MILLION 3.5 20*40 MILLION 6 NA 25*44 MILLION 7. (kwa taarifa zaidi piga 0718334726)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji TOYOTA PREMIO YA SYLVER mwenye nayo tuongee biashara ila icwe imechakaa.
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Back
Top Bottom