Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau habari za muda na poleni kwa majukumu, Naulizia mwenye kujua zinapoweza kupatikana taa ya mbele ya kushoto ya Toyota starlet model ya carat ikiwa full pamoja na indicator yake.Tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
salaam! nahitaji kukodi gari kwa siku moja tu, msaada kwa yeyote anayeweza kunijulisha upatikanaji wake na gharama.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ipo mtaa wa longido upanga , kiwanja kinaukubwa wa sqm 950, ineo limezungushiwa uzio na pembeni linazungukwa na gorofa ndefu , ni sehemu nzuri sana kwa ajili ya kujenga kitega uchumi. jengo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni Kitunda kati,kituo cha basi Masai-approx.150 meters kufika vilipo. 1. size 1245 square meters-50mil. 2.size 973 square meters-40mil (negotiable) HAKUNA DALALI. Vyote vina leseni za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau wenye Ideos naomba anicheki chap nahitaji
0 Reactions
5 Replies
878 Views
Hello WanaJF natafuta chumba self-contained naomba msaada wenu, panapowezekana.:A S embarassed:
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Espitech Engineering Company are Exparts in Latest and Advanced Equipments Supply and Instollation of the following Services CCTV surveyallance Intruder Alarm System Entrance/Exit Fire...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo vipi JF? Puppies DOB 29/07/2012 wanauzwa, wameshachomwa DHLP , buster wanachomwa mwezi wa 10. Bei kwa puppy mmoja ni Tshs 400,000/=. Wamebaki majike wa2 na dume mmoja. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
nahitaji mtu mwenye simu hii aniuzie tukubaliane bei haraka sana na iwe katika hali nzuri isiwe imechoka
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Jiko na mixer ya bakery zinauzwa Nauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF... nina kiasi cha Tshs. 6M Je ninaweza kupata gari (saloon, RAV 4, Escudo) iliyokuwa katika hali nzuri kama ipo naomba PM
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa wanaojua mahali ambako wanatengeneza au kuuza mashine za kutengeneza mkaa utokanao na mabaki ya vitu mbalimbali kama karatasi nk (briquettes) naomba wanijulishe tafadhali. Nitafurahi kama...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Nauza disply ya sony viao,14.1" model yake ni PCG_7K1l . VGN-FJ270.ni pm kama unahitaji
0 Reactions
1 Replies
647 Views
House for Sale Price Negotiable Includes: MASTER BEDROOMS, SITTING/ DINNING/FULLY EQUIPPED KITCHEN FULLY FURNISHED, ALL INCLUSIVE ELECTRICITY and WATER * Price:200 million Price...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Lina ukubwa wa ekari moja,lipo bugogwa,wilaya ya ilemela,halijapimwa,bei tshs 2,800,000 kwa mawasiliano zaidi namba ya simu 0767266814
0 Reactions
0 Replies
1K Views
40,274,512.76 TZSkwa maelezo zaid wasiliana nami kwa email mbarouk1984@hotmail.com
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mitsubishi pajero io 5 doors BKE registration.. Never overhauled Single owned for 15 months in tanzania., bought from YUASA AUTO IMPLEX last year Run in excellent condition Surrounding sound...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit
0 Reactions
0 Replies
746 Views
HABARI WADAU Na habari nzuri nataka kuwatangazia kwa wale ambao wanahitaji na wana tafuta nyumba ya kifamilia.(YAKUPANGISHA) NYUMBA INA VYUMBA 3(1MASTER BEDROOM) CHOO CHA NDANI 1 CHOO CHA NJE NA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Plot available at Kimara Baruti about 1km off Morogoro Road. Size 30m x 18.3m. Asking price 20m. Contacts: 0713/0767/0783 - 310750
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Back
Top Bottom