Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wana JF, Nahitaji Toyota Hilux Pick Up isiwe Double cabin, iwe katika hali nzuri, kama kuna mtu anayo ani-PM pamoja na Bei yake anayouza.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wadau! nahitaji kununua gari toyota ist ambayo ipo katika hali nzuri. Specifications 1. Rangi yoyote kasoro nyeupe, nyekundu na dark blue (blue bahari haina shida) 2. Ndani iwe safi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
40,274,512.76 TZSwasiliana nami kwa email mbarouk1984@hotmail.com au simu namba +79275052564
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Wadau natafuta nyumba/chumba na sebule katika manispaa ya Morogoro hasa maeneo ya Bigwa yote mpaka mwanzo Mgumu,Misongeni,Kola na nanenae au popote ndani ya manispaa ya Morogoro,kikubwa vyumba...
0 Reactions
5 Replies
39K Views
MITA 22*22 3.5MILION, MITA 30*40 7.5MILION VIKO 3KM AND 7KM KUTOKA MOROGORO ROAD (kwa taarifa zaidi piga: 0715055577/0769055577)
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Photocopy yangu inasema System ERROR E100.wapi nitapa Drum unit ya Kununua?ni IR 1600
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Heshima kwenu wadau wa JF, Naomba kwa watu walio Arusha nahitaji kupata nyumba ya kupanga haraka sana, tafadhali kama kuna affordable apartment itakuwa ni chaguo la kwanza, kama bei ni aghali...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Easy -Easier -Easiest Advertising Centre Just click…. Arusha Online: ARUSHA ONLINE The BlogSpot that brings customers close to you Our rates have deliberately been kept low to give...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wenu hasa kwa wale wakazi wa Morogoro,natafuta fundi wa laptop kwa maeneo haya ya Morogoro mjini!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF ninauza GPS Magellan Explorist 100 ambayo hutumika na maofisa ardhi kujua coordinates za kiwanja katika hatua za mwanzo kabla upimaji mkubwa haujaanza. Hii husaidia kujua location na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
kuna habari kuwa hon advocate MAIRA hayupo nasi tena, ameaga dunia akipata matibabu hapo marekani REST IN PEACE OUR LEARNED BROTHER
0 Reactions
108 Replies
19K Views
Wajamaa, Hii carry- truck hapa inauzwa. Inatoka bandarini wiki hii, wahi uipate. Bei ni TShs 7,600,000 tu!!! Imelipiwa kila kitu mpaka sticker ya fire, unaweka tu number plates na bima...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
ipod shuffle 8GB together with charger,usb cable,earphone selling for 80000tsh dial 0653269241
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Blackberry storm 9500 inauzwa kwa 340,000.. Cal 0717 602392
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Greetings! Wakuu kwa wanao hitaji ramani za nyumba (Residential Houses) pamoja na cost- estimates zake tuwasiliane, pia Sisi kama BUILK BUILD tunakujengea nyumba yako at a high quality needed...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ndugu wanajamii kuna eneo la machimbo ya kokoto heka 55 linauzwa, eneo lipo msata bagamoyo limepimwa lina title deeds kati ya heka 55 heka 2 tu ndo zimechimbwa bei yake ni ml 350 kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wanajamii! kuna eneo linauzwa lipo barabarani maeneo ya zinga. eneo lina ukubwa wa heka 2 linalofaa kwa makazi, kilimo au mifugo, huduma za maji na umeme zipo bei yake ni ml.16 tu kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
salam, wanajamii! kuna eneo la heka 6 zinga bagamoyo linauzwa lipo umbali wa mita 800 kutoka barabara ya bagamoyo road eneo halina mgogoro huduma za jamii za maji, barabara na umeme zimefika eneo...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Kabari wanajamii! kuna surveyed plot ambayo ni medium size inauzwa bagamoyo mjini maeneo ya ukuni plot ina ukubwa wa sqm 760 huduma za jamiiza maji na umeme zinapatikana, bei yake ni ml 7.5 if you...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Greetings! Wakuu kwa wanao hitaji ramani za nyumba (Residential Houses) pamoja na cost- estimates zake tuwasiliane, pia Sisi kama BUILK BUILD tunakujengea nyumba yako at a high quality needed...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom