Jiko na mixer ya bakery zinauzwaNauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote...
http://www.investinafrica.com
Hii ni website ambayo ina dili na investing in Africa wadau wa Investing naomba mtusaidie ufafanuzi hawa jamaa wanapataje pesa na je kuna uwezekano wa mtu kuanzisha...
Haijakamilika kama inavyoonekana katika picha. Inavyumba vitatu vya kulala. sebure jiko na dinning. Ina umeme na mita ya luku tayari. Bei 85mil. Ikiwa unahitaji kuiona piga simu 0717114409 kuweka...
Ipo karibu na Canossa Primary and secondary school. Ina vyumba vinne vya kulala viwili vikiwa self contained. Ina jiko, dinning na sitting room. Ina uzio. Ni nyumba nzuri ya kisasa inafaa kuishi...
Nimeanzisha bakery yangu na niko kwenye process ya kuiboresha. Mojawapo ya kitu ninachotaka kukifanya ni kushapisha mifuko ya mikate. Wapi naweza kuchapia mifuko ya mikate kwa bei nafuu?
Toyota Nadia 2002 model (ex-Japan) is for sale. The car is registered,duty paid and comprehensively insured. The car has been well kept and mechanically maintained. It is in Dar Es Salaam. Here...
Ninauza Daf CF 430 HP toka UK imetoka bandarini juzi, rangi yake ni nyeupe (Pearl white) na ina hali nzuri sana. Bei ni maelewano. Endapo mtu anataka kuiona ipo Temeke Mwisho na kwa mawasiliano...
Nauza Gx110,ipo safi haina shida,inatembea full option..ODO 160,000kms,Nyeupe,Alloys Rims,
Reasons ya Kuuza; Ipo Dodoma,nimehamishiwa Dar Nimepatiwa Gari Nyingine.
Sent from my BlackBerry 9900...
Connect your computer to a Mobile Broadband Internet connection.
The D- Link 3.75G HSUPA adapter allows users with a computer to connect to any Mobile Broadband networks.
BAND 850,900, 1800, 1900...
Wana JF nauza Acer travel mate 2490, yenye H:D 60GB, INTEL CELERON 1.8GHz/1866MHz,1GB Ram,ipo Morogoro,bei ni 280,000,ni used one na inahitaji a new battery,maana iliyopo ina last kwa 15 mins only...
specification zake ni kama ifuatavyo...operating system: window 7, system manufacture: acer, system model: Aspire 5334, Webcam, Processor: Intel(R) celeron cpu @ 2.2 GHz, RAM: 3 GB, Hard disk: 250...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.