Nauza cctv Camera pamoja na screen ndogo kama sikosei ni 7 inch.Ni nzuri kwa matumizi ya biashara kama duka kwa ajili ya kuweka usalama kwa vibaka.Lakini hairikodi matukio ila utakuwa na uwezo wa...
*******************
1.Battery gel battery: 12V / 7A
2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
Small voltage Sockets:
a. 3 volt
b. 4.5 volt
c.-6 Volt
d. 9 volt
e. 12 volt
3. Car...
Nauza simu aina ya b.berry torch,b.bold 9700,bold9900,nokia x2,nokia asha302,sonny ericsony experior hark,curve 1 and 2,bold 9780,mzigo uko poa.nitafute kwa 0652740304 al riyami
Jamani wanajamii nauza brand new Air Conditioner machine ni SANYO BTU 12, Window type. kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane through 0719 595656, zipo zaidi ya moja.
Ninawakilisha universities za marekani na china sasa hivi ninazo admission za kwenda november/`2o12
katika fani mbali mbali wasiliana na tony wa benjamini mkapa 0755 489 800
The phone is like new, black and used for 1 month I sell it because i have Another phone.
More information visit Nokia C6 - Full phone specifications Contact 0785347080,0715347080 Arusha
price...
VIWANJA VINAUZWA.
Viwanja vinauzwa , eka moja na ¾ eka , viko Njia Panda , Chekereni, Moshi, Kilimanjaro,Tanzania.Kilometer moja kutoka barabara inayokwenda...
Plot inauzwa madale baada ya kituo cha polisi
kama unaelekea kwa kawawa ina heka 8 na kila
hekta million 15. Unaweka nunua yote au hekta
moja moja. Umbali wake ni mwendo wa dakika 7
toka...
Hi all,
Nauza HP Laptop 6910p yenye Specs hizi hapa:
Processor: Duo @ 2.4
HDD: 250gb
RAM: 2gb
Resolution: Mobile PC Display,nice
Installed OS: Win 7 Proffesional
Performance: Great
Problem...
TUNAHITAJI WANUNUZI AMBAO WANAWEZA KUNUNUA MATIKITI MAJI KUANZIA TANI ELFU 10 ( SAWA NA MATUNDA 40,000+). TUNAPATIKANA MKOA WA TANGA MJINI MAENEO YA PONGWE. TUNAHITAJI MTEJA AMBAE ANAWEZA KUMUDU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.